Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni.

Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo.

Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao.

Hawa ndio wanao-force feminism katika ndoa zenu na maofisini kwenu

Hawa ndio wanao-force haki za mashoga na kufanya vile wanavyotaka na wanavyopendelea bila kujali imani na maadili ya mtu

Hawa ndio wanao-force watu elements za kuua ukristo na uyahudi kwa ku-support chochote kile cha kuua misingi ya u-mgharibi.
 
Back
Top Bottom