Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jan 11, 2021 #41 chagu wa malunde said: Hata siku moja ukweli na uongo haukai pamoja. Hii kesi jinsi ilivyowekwa hadharani ni wazi kuwa huwa mnaongea uongo wa kukaririshwa tu. Click to expand... Level yako ya uelewa wa mambo naifahamu, na level hii ya kwako kwa awamu hii ndio inatakiwa.
chagu wa malunde said: Hata siku moja ukweli na uongo haukai pamoja. Hii kesi jinsi ilivyowekwa hadharani ni wazi kuwa huwa mnaongea uongo wa kukaririshwa tu. Click to expand... Level yako ya uelewa wa mambo naifahamu, na level hii ya kwako kwa awamu hii ndio inatakiwa.