Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

Tatizo Una low IQ . Jitathmini .

Which countries have given the most to Ukraine?


European countries have provided €132 billion in aid (military, financial and humanitarian) as of December 2024, and the United States has provided €114 billion. Most of the US funding supports American industries who produce weapons and military equipment.
 
UK ipi unayoizungumzia? UK inayolindwa na Us military bases? Kwa taarifa yako bongo Yuko free kijeshi kuliko UK!
Ukishakua addicted na uchawa. Inasikitisha.

Unafikiri wananchi wa UK wana IQ ndogo kiasi cha kukubali kuwekewa ulinzi/kunyimwa uhuru na adui wao wa chini ya kapeti ?

Jitathmini
 
Ikitokea WW3,USA na Russia zitakuwa tena upande mmoja!

Ni kama UK na wenzie wanamtumia salamu Trump!
 
Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.

Next time wakati unatumia Google tumia akili, si copy and paste.
 
Sijui kwa nini wabongo wanapenda kukurupuka.

Unadhani Germany uchumi wake ni wa kuunga unga kama ulivyo wa kizimkazi.

Jitathmini.
 


Siyo Uingereza pekee, ni pamoja na Ufaransa, na wameomba mataifa mengine yajiunge nao, lakini kwa kuishirikisha na Marekani.

Nchi za Ulaya, kwa umoja ambao haujawahi kushuhudiwa, zimekubaliana kusaidia kuilinda Ukraine dhidi ya Urusi, na kutamka kuwa wakimwacha Putin afanikiwe dhidi ya Ukraine, ushenzi uliofanywa dhidi ya Ukraine, utawafikia na wao. Kwa sasa Uingereza na Ufaransa, zimetamka wazi kuwa tayari kuwapeleka askari wake kuilinda Ukraine.

Ikumbukwe kuwa Ufaransa ndiyo nchi yenye jeshi zuri sana la anga. Hata wakati wa vita dhidi ya Iraq, Marekani ilitegemea sana kikosi cha anga cha Ufaransa wakitumia zile ndege zao aina ya Jagwar.

Habari kamili toka BBC hii hapa:

Starmer announces 'coalition of the willing' to guarantee Ukraine peace:​

  • 2 March 2025
    Updated 5 hours ago
UK Prime Minister Keir Starmer has announced a four-point plan to work with Ukraine to end the war and defend the country from Russia.
The UK, France and other countries will step up their efforts in a "coalition of the willing" and seek to involve the US in their support for Ukraine, he said.
"We are at a crossroads in history today," Starmer said after a summit of 18 leaders - mostly from Europe and including Ukrainian President Volodymyr Zelensky, who said Ukraine felt "strong support" and the summit showed "European unity at an extremely high level not seen for a long time".
"Europe must do the heavy lifting," he said, before adding that the agreement would need US backing and had to include Russia, but that Moscow could not be allowed to dictate terms.
"Let me be clear, we agree with Trump on the urgent need for a durable peace. Now we need to deliver together," Sir Keir said.
When asked if the US under Trump was an unreliable ally, he said: "Nobody wanted to see what happened last Friday, but I do not accept that the US is an unreliable ally."
 
Ukishakua addicted na uchawa. Inasikitisha.

Unafikiri wananchi wa UK wana IQ ndogo kiasi cha kukubali kuwekewa ulinzi/kunyimwa uhuru na adui wao wa chini ya kapeti ?

Jitathmini
Mkuu bila shaka una shida una shida ya kisaikolojia inayokufanya uamini Kila anayetoa mfano flani juu ya Tz ni chawa..
Ila kwa hakika Tz tupo free zaidi kijeshi na kijasusi kuliko UK inayohost kambi za kijeshi za Marekani zinaxofikia idadi 13.
Huko Bongo tuna kambi zetu tu za kibongo
 
Labda si chawa lakini Una mindset za kichawa.

Unaijua UK vizuri ?
UK anachofanya ni kukeep his friends close and his enemies closer.

Elewa neno closer
 
Kwa walikuw wanalengo la kumsaid zelekys tangu awali wangeamua kumsaidia kwa pamoja na kutoa msaada wa dhati ungekuta Ukraine haijapata madhara kama waliyokuw nayo sasa


Nazan zelekys bado ajielew kuw anazd kujikaanga na mwisho wa siku atangamiz Taifa lote ,

Kama mareka ndio ilikuw inatoa sapokubwa kwa miaka 3 mfululizo wao wakina nani ambao wanawez fanya mageuz ya kivita kama putin ata kuw sapoted na trump uchina na kim , naona zelekys atazam upya namna anavyosaidiw


Asiwe kam mwanamke anaachwa huku kesho anaimin maneno yale yale ya mwanaume mwingne kama yale ,


Na ajue hizo political figures i just few months/years zinaend kubadlka
 
Kwenye post yako umesema UK Katoa pakubwa kuliko US then hapa unaleta takwimu za EU na unaleta dharau kabisa.
Huoni wewe ndio unashida?
 
Kwenye post yako umesema UK Katoa pakubwa kuliko US then hapa unaleta takwimu za EU na unaleta dharau kabisa.
Huoni wewe ndio unashida?
Sasa UK, EU si familia kabisa, Kwa ufupi Baba na watoto .

Next time Google namna na kuboost IQ yako. itakusaidia kupunguza mihemko.
 
Labda si chawa lakini Una mindset za kichawa.

Unaijua UK vizuri ?
UK anachofanya ni kukeep his friends close and his enemies closer.

Elewa neno closer
Hakuna nchi huru inayohifadhi makambi ya kijeshi ya mataifa mengine! UK ni coloni la USA.
Nb.
Una mindset ya greatness ya Britain kabla ya mwaka1945- 1956. Baada ya hapo Britain hawana Cha maana..
 
Hivi huyo PM wa UK ni wa ngapi kushuhudiwa na PUT IN akiwa top pale RUSSIA?
JB aliambiwa na PUT IN kuwa ameshuhudia Presidents wengi wa US wakija na kuondoka na JB ataondoka lkn yeye ataendelea kuwepo sana.
 
No, TRUMP is realistic, hawa kina Steimer ni wanafiki tu, hivi Cameron aliyemlazimisha Zelensky kuendelea na vita na sio amani, leo yuko wapi?. Hakuna Bunge lolote la Ulaya litaridhia wanajeshi wake kwenda UKRAINE, kwa sababu hizi;
1. Ukraine imeshapoteza pakubwa mno.
2. Hakuna Morali ya umma wa wazungu juu ya vita hii tena. March 2022 ilikuwa wakati sahihi and not now. Raia wao watawauliza wanataka kupeleka wanajeshi ili wapate nini?
3. Hali ya kiuchumi ya nchi za ulaya si nzuri, so kuingia vitani ni kuziumiza zaidi nchi zao kisiasa
4. Anguko la Kisiasa la Serikali zitazoridhia mchakato huo ni dhahiri.
5. Hawana Support ya Marekani. Uingereza haiwezi pigana na Mrusi direct pekee yake bila Marekani. Juzi Steimer kakili hili mwenyewe.

Kinachowasumbua hawa Waulaya ni namna gani watasurrender maana ni fedheha kwao.
 
Hahaha ati kuondolewa madarakan
Kupata VITUKO kama hivi
Andika
NATO KWENDA no 15777
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…