Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
hivi wewe uk unaijua ilishawahi kuwa superpower na ilitawala duniaKwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wewe uk unaijua ilishawahi kuwa superpower na ilitawala duniaKwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Trump sio kibaraka wa Putin. Ni mfanyabiashara mkubwa tu na huenda ni Putin ni moja wa shareholder mkubwa wa Trump. Hivyo kaeni kwa kutulia jamaniHuyu Trump ni kibaraka wa Putin
Tatizo Una low IQ . Jitathmini .Hivi story za kijiweni kama hizi mnatoa wapi, hamfuatilii habari au?
US ametoa msaada almost ten times(x10) ya alichotoa UK leo useme UK katoa zaidi!!!
US peke yake msaada wake ni almost equal to all EU countries combined, yaani almost 50% ya kilichoenda Ukraine kimetoka US, acheni story za vijiwe vya kahawa fuatilieni facts.
Ukishakua addicted na uchawa. Inasikitisha.UK ipi unayoizungumzia? UK inayolindwa na Us military bases? Kwa taarifa yako bongo Yuko free kijeshi kuliko UK!
Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.Hivi hizi taarifa mnatoa wapi watu wa JF?
Ebu tueleweshe kwanza huenda tukakubishia huku hatujui msaada unaohusu nini.
Inawezekana siyo wa kijeshi wa kuwezesha Ukraine ishinde Vita.
Tuwekee hapa figures yaani namba za takwimu za UK na USA misaada kwenda Ukraine tangu 2014 au 2022.
Sijui kwa nini wabongo wanapenda kukurupuka.Ndo hio stable economy ionekane ....Mjerumani alipokua kabla ya vita sio alipo baada ya vita na uchumi wa ujerumani ulikua ni mkubwa kuliko wa huyo muingereza.......hao hawana ubavu wa kusimama wenyewe wafadhili vita ya muda mrefu lazima nchi zao ziyumbe....na hilo gap la kujitoa marekani hata wajitutumue vipi hawawezi kuliziba , hawana uchumi wa vita za muda mrefu bila marekani
Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
Wewe mkuu unaropoka ama unaongea?Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
Mkuu bila shaka una shida una shida ya kisaikolojia inayokufanya uamini Kila anayetoa mfano flani juu ya Tz ni chawa..Ukishakua addicted na uchawa. Inasikitisha.
Unafikiri wananchi wa UK wana IQ ndogo kiasi cha kukubali kuwekewa ulinzi/kunyimwa uhuru na adui wao wa chini ya kapeti ?
Jitathmini
Labda si chawa lakini Una mindset za kichawa.Mkuu bila shaka una shida una shida ya kisaikolojia inayokufanya uamini Kila anayetoa mfano flani juu ya Tz ni chawa..
Ila kwa hakika Tz tupo free zaidi kijeshi na kijasusi kuliko UK inayohost kambi za kijeshi za Marekani zinaxofikia idadi 13.
Huko Bongo tuna kambi zetu tu za kibongo
Kwenye post yako umesema UK Katoa pakubwa kuliko US then hapa unaleta takwimu za EU na unaleta dharau kabisa.Tatizo Una low IQ . Jitathmini .
Which countries have given the most to Ukraine?
European countries have provided €132 billion in aid (military, financial and humanitarian) as of December 2024, and the United States has provided €114 billion. Most of the US funding supports American industries who produce weapons and military equipment.
Sasa UK, EU si familia kabisa, Kwa ufupi Baba na watoto .Kwenye post yako umesema UK Katoa pakubwa kuliko US then hapa unaleta takwimu za EU na unaleta dharau kabisa.
Huoni wewe ndio unashida?
Acha dharau mkuu umesema UK katoa pakubwa kuliko US, tuambie hapa katoa ngapi?Sasa UK, EU si familia kabisa, Kwa ufupi Baba na watoto .
Next time Google namna na kuboost IQ yako. itakusaidia kupunguza mihemko.
Hakuna nchi huru inayohifadhi makambi ya kijeshi ya mataifa mengine! UK ni coloni la USA.Labda si chawa lakini Una mindset za kichawa.
Unaijua UK vizuri ?
UK anachofanya ni kukeep his friends close and his enemies closer.
Elewa neno closer
No, TRUMP is realistic, hawa kina Steimer ni wanafiki tu, hivi Cameron aliyemlazimisha Zelensky kuendelea na vita na sio amani, leo yuko wapi?. Hakuna Bunge lolote la Ulaya litaridhia wanajeshi wake kwenda UKRAINE, kwa sababu hizi;Said it. Trump akishindwa kumsaidia wengine watamsaidia bila kumdhalilisha.
Trump ni 🗑️.
Tho Marekani hawezi kubadilisha maamuzi ya UK kwa namna yoyote ile. Sababu UK haindeshwi kama genge la nyanya.
UK ni very developed kiitelijensia na Uhuru wa maoni plus watu ndo wanaamua nini kifanyike. Pm ni mwakilishi tu
Hahaha ati kuondolewa madarakanWakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu