Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hawa hapa mpaka 10Ya kwamza mpaka 5 ni akina nani?
Wewe utakuwa unamsikilizaga sana George Galloway.Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
Na hapa ndo tutarajie mlipuko....Kwenye hili la kusaidia Ukraine hata wapinzani wa Starmer nchini UK wanamuunga mkono.
Hata nchi nyingi za UE wataunga tella maana wanamuona Putin kama tishio kwa hatma ya Ulaya ambaye ni lazima adhibitiwe.
Wanajua "usipoziba ufa utajenga ukuta"
Wale wote walikuwa wanashangalia na kumpigia kura kawafukuza kazi kwa kumtumia Elon muskMarekani chini ya trump ni ovyo sana
Naona umemjibu bila hata kuelewa hoja yake.Kwa hiyo wangekaaa tu wasifanye lolote? Nyumba yako inavamiwa umekaa tu unamuambia jirani abebe kila kitu?
Huko majuu wangekuwa wanawaza hivyo wasingekuwa hapo walipofika
Muingereza aliwekeza sana kwenye teknolojia za vita hasa huko upande wa AI na alishaanza kupunguza wanajeshi wake........nchi za ulaya kutoa tu misaada ya silaha mfano ujerumani baadae akajikuta hata silaha zake mwenyewe za kujilinda zimepungua.....Mmarekani anaviwanda ambavyo vinamuwezesha kutoa mzigo mkubwa na hapohapo kufidia zilizotoka Mjerumani viwanda vyake vingi sio vya silaha akitaka aende sawa na mmarekani labda hivyo viwanda vya magari afunge avibadili kua vya silaha, hana ubavu wa kufanya kama anavyofanya Marekani, na Ujerumani kwa ulaya ndo powerhouse yao ya uzalishaji na amefloat sembuse hao wengineWewe utakuwa unamsikilizaga sana George Galloway.
UK sio familia na EUSasa UK, EU si familia kabisa, Kwa ufupi Baba na watoto .
Next time Google namna na kuboost IQ yako. itakusaidia kupunguza mihemko.
✔️No, TRUMP is realistic, hawa kina Steimer ni wanafiki tu, hivi Cameron aliyemlazimisha Zelensky kuendelea na vita na sio amani, leo yuko wapi?. Hakuna Bunge lolote la Ulaya litaridhia wanajeshi wake kwenda UKRAINE, kwa sababu hizi;
1. Ukraine imeshapoteza pakubwa mno.
2. Hakuna Morali ya umma wa wazungu juu ya vita hii tena. March 2022 ilikuwa wakati sahihi and not now. Raia wao watawauliza wanataka kupeleka wanajeshi ili wapate nini?
3. Hali ya kiuchumi ya nchi za ulaya si nzuri, so kuingia vitani ni kuziumiza zaidi nchi zao kisiasa
4. Anguko la Kisiasa la Serikali zitazoridhia mchakato huo ni dhahiri.
5. Hawana Support ya Marekani. Uingereza haiwezi pigana na Mrusi direct pekee yake bila Marekani. Juzi Steimer kakili hili mwenyewe.
Kinachowasumbua hawa Waulaya ni namna gani watasurrender maana ni fedheha kwao.
Ha ha ha haaa,watu mna maneno ya kuogofya mno.Putin alisema yoyote atakae peleka pua ukraine atakumbana na kitu ambacho hakuwah kukiona hapo kabla na baada..
Hujamsikia katangaza nafasi vijana kutoka Africa wanahitajika huko, ndio hao watapelekwa kuwa chamboKwa jeshi gani alilo nalo U.K?
hv ukimya wa mataifa ya Ulaya , unakudanganya ? ULAYA WALIANZA KUONA USA SIO MTU MWAMINIFU KITAMBO SANA WALISHAANZA KUJIKUSANYA KITAMBO SANA , USA HAEZ ATTEMP KUPAMBANA NA ULAYA MAANA KILA MTU DUNIANI ANAOMBA USA AANGUKE , SO ITAKUWA FURSA KWA MAADUI WA USAWakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
duh kisa huon UK ikisifiwa jf bas ushaidharau?Hayo ni maneno matupu ya mkwara, lakini hayatekelezeki bila msaada wa Marekani. UK kwa sasa kipaumbele chake ni kuimarisha jeshi lake ili kujilinda yenyewe. Haina uwezo wa kuingilia mgogoro wa nchi nyingine kwa nguvu kubwa maana itapunguza sana uwezo wa kujilinda yenyewe.
Waendeee mara ngapi?Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu
Nchi za ulaya ziliendelea kwa kunyonya makoloni, mfano Uingereza wakijizolea pamba za bure India na China waliwafanya mateja wa opioid. Baadae wakaja Afrika kunyonya pia.Muingereza aliwekeza sana kwenye teknolojia za vita hasa huko upande wa AI na alishaanza kupunguza wanajeshi wake........nchi za ulaya kutoa tu misaada ya silaha mfano ujerumani baadae akajikuta hata silaha zake mwenyewe za kujilinda zimepungua.....Mmarekani anaviwanda ambavyo vinamuwezesha kutoa mzigo mkubwa na hapohapo kufidia zilizotoka Mjerumani viwanda vyake vingi sio vya silaha akitaka aende sawa na mmarekani labda hivyo viwanda vya magari afunge avibadili kua vya silaha, hana ubavu wa kufanya kama anavyofanya Marekani, na Ujerumani kwa ulaya ndo powerhouse yao ya uzalishaji na amefloat sembuse hao wengine
Katika kitu kibaya kwenye maisha ni kuwa na uwezo mdogo wa ufahamu na kisha ukajiona unajua kuliko waliokuzidi utaharibu na kupotea njia, ni bora uwe na uwezo mdogo na utambue nafasi yako katika uwezo utapata nafasi ya kujifunza.Tatizo Una low IQ . Jitathmini .
Which countries have given the most to Ukraine?
European countries have provided €132 billion in aid (military, financial and humanitarian) as of December 2024, and the United States has provided €114 billion. Most of the US funding supports American industries who produce weapons and military equipment.
Maneno mengi ya nini kama unauweza pima.Kwa jeshi gani alilo nalo U.K?
Kama tangu mwaka 1946 yupo na amezungukwa na maadui katika ardhi inayolingana na Kigamboni, kwanini tusiamini ana jeshi imara?maneno kama haya ndio mliokuwa mnayatumia kutudanganya pia kuhusu israel,
Kwani putin bado anao?
Hukusikia baada ya kuishiwa askari alienda kuomba na akapewa msaada wa wapiganaji 10k kutoka North Korea, ambao pia wameshamalizwa chap?
kweli UK hana ubavu wa kusimama na Russia
Hujamsikia katangaza nafasi vijana kutoka Africa wanahitajika huko, ndio hao watapelekwa kuwa chambo