eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Achana na hao wasanii.Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena kwa ukubwa ule ule kabla huu mwaka haujaisha.
Hongera kwa kusikiliza ushauri wa watumishi wa kweli ya Mungu.
Ampe mtu kitu anachoamini ni cha kishetani?Huo sasa ni ushetani na imani za kishirikina. Angempa tu mtu mwingine bure kuliko kulichoma moto kutafuta kiki avume tena
Ikawe heri kwake afanikiwe katika uimbaji wake
salama yake ilikuwa ni kuchoma na sio kuliuzaHuo sasa ni ushetani na imani za kishirikina. Angempa tu mtu mwingine bure kuliko kulichoma moto kutafuta kiki avume tena
usiseme usichokijuaAchana na hao wasanii.
Hiyo.mbinu wamepanga yeye na nabii wake wapate Airtime.
Do not waste your time on them
Eehsalama yake ilikuwa ni kuchoma na sio kuliuza
kuna pande mbili dunianiKutokufanya wewe vizuri katika kazi yako isiwe kisingizio kwa wengine... Jamaa kama hayuko serious katika kazi yake asitegemee miujiza katika mziki wake.
hakuna maigizoIgizo limefika kileleni.
Anafungwa Huyo katenda jinaiDunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena kwa ukubwa ule ule kabla huu mwaka haujaisha.
Hongera kwa kusikiliza ushauri wa watumishi wa kweli ya Mungu.
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena kwa ukubwa ule ule kabla huu mwaka haujaisha.
Hongera kwa kusikiliza ushauri wa watumishi wa kweli ya Mungu.
kilichomfanya achome ni mambo ya kiroho na kile ambacho kingekuja kumpata baadaeAnafungwa Huyo katenda jinai
hujaelewa, yaani kama gari halitaki ampe mtu kuliko kulichoma moto. Kulichoma moto ndio ushetani na ushirikina. Mbona mikweche ya smartphone watu hupeana ?Ampe mtu kitu anachoamini ni cha kishetani?
Yaani ni sawa wewe umpatie yatima mkate wenye sumu ndani