Hawa mastaa wa injili humuimba shetani **** ni muovu, wanajisahau sana shetani naye hulipiza kisasi kwa kuwapa vitu vizuri kumbe ndani yake ni mtego wa kuwamaliza. Kuna mmoja aliimba sana akajikuta anatunukiwa tuzo na shetani akapokea. Wasikilizaji wa nyimbo zake wakakwazika wakabondabonda kanda, cd za nyimbo zake na kuzitupa. Hakujali, akatoa albam nyingine ikavuma sana mpaka akajikuta anapata mkataba mnono kwa kampuni kubwa duniani ya muziki, akaanza kuwaambia wasimbane sana kwenye ibada ya kumuabudu Mungu. Haijulikani mkataba uliishaje tukaona amekuwa mwendawazimu na kuishia kuombewa hiyo hali imtoke. Alipona na akatoa albamu nyingine lakini haikupokelewa vema na mashabiki zake kama albam mbili za mwanzo. Amechuja hajui afanyaje ili atoe albam itakayovuma kama albam za mwanzo zilizompa umaarufu