Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

Hata akirudi atakuwa amejifunza motto ya POLISI Tanzania, "Utii Bila Shurti".

Huwezi kushindana na Polisi hata kama una haki namna gani. Tii kwanza unachoambiwa ndiyo uulize. Yeye anafunga barabara kama nani?
 
Kwa hiyo wanatumika nguvu bila kumtumia akiri?
Hata akirudi atakuwa amejifunza motto ya POLISI Tanzania, "Utii Bila Shurti".

Huwezi kushindana na Polisi hata kama una haki namna gani. Tii kwanza unachoambiwa ndiyo uulize. Yeye anafunga barabara kama nani?
 
Amesema operation 255 katiba mpya na okoa bandari zetu itaendelea Kanda ya kaskazini. Na Karatu ipo Kanda hiyo hivyo watafika kukiwasha.
 
Hata akirudi atakuwa amejifunza motto ya POLISI Tanzania, "Utii Bila Shurti".

Huwezi kushindana na Polisi hata kama una haki namna gani. Tii kwanza unachoambiwa ndiyo uulize. Yeye anafunga barabara kama nani?
Kuwa TanPol ni laana.
Pole kwa kulaanika.
 
Darasa la 3? Njoo na hoja tushindane siyo kejeli na matusi.

Kosa la Polisi halijibiwi kwa kufunga njia. Two wrongs do not make one right.
Hoja zipi kijana.... Wakati ngorongoro hamtaki tuende...

Polisi wanamaisha ya shida sana.. ... Lakini mmekaa kutetea wala rushwa kwa nguvu zenu zote. 🥴🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…