Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

Hoja zipi kijana.... Wakati ngorongoro hamtaki tuende...

Polisi wanamaisha ya shida sana.. ... Lakini mmekaa kutetea wala rushwa kwa nguvu zenu zote. 🥴🥴
Mimi siyo kijana, ni mstaafu. Wewe unataka ukafanye nini Ngorongoro? Ukavute bangi na suruali iko chini ya matako?
 
Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi.

Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa.

Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

Ndani ya uzi wako umeambatanisha anachosema Lissu kinachofuata. Ameeleza yote yakiwamo ulichouliza ndugu.
 
Back
Top Bottom