Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Kimsingi Tuzo Zina Faida Gani?
Tuzo kwa vijana, je wajua kijana ni nani katika taifa? Ukijua hili utafuta ulichoandika.Mkuu labda kwa makusudi hujui Tuzo ni nini kwenye hayo maisha ya vijana
Unafikiri waliobuni utoaji wa Tuzo ni wajinga?
Tuzo ni promotion,
Ukipewa Tuzo sasa hivi kama unaakili nzuri hiyo ni Fursa ya kiuchumi.
Kiuchumi Tuzo ni Moja ya vitu muhimu kwenye brand ya biashara na mtu mwenyewe.
Haya
Anatoboa vizuri tu, labda tuzo ziendeshwe na wenye tasnia 100%, tuzo zina ukiritimba mwingi mno.
Hizo tuzo za wacheleshaji zina vipengele kibao vya kugawana keki.
Dunia ya Sasa Sidhani bado iko huko 😀Zinafaida kubwa Sana Kibiashara
Na kwenye taaluma yoyote Ile.
Kama upo kwenye biashara
Au ni mwanataaluma utaelewa umuhimu wa Tuzo kirahisi zaidi
Mzee Mgaya naona ameanza tena kurudi kwenye viwango ila mwambie asiwe anasinziaDunia ya Sasa Sidhani bado iko huko 😀
Tuzo kwa vijana, je wajua kijana ni nani katika taifa? Ukijua hili utafuta ulichoandika.
Kwa uchache kijana ni nguvu ya taifa popote duniani.
Kutoa Tuzo ni sehemu ya kuleta hamasa kwa vijana wasio na Ajira Kutafuta kitu chakufanya kama wenzao waliojitafuta wakapata cha kufanya na sasa wamepewa Tuzo.Je tz tupo na vijana wangapi na wasomi wasiokua na ajira ,nakubali vipaji ni moja ya ajira je umewafikilia vijana wenzako na wasomi ambao wapo kuranda mtaani?
Mazingira bora ni pamoja na kuwatangaza vijana na vipaji vyao kupitia Tuzo.Na ni kwa vipi nchi imewawekea mazingira bora kama vijana ambao mpo industry ya Sanaa?
Je mwafikiri vijana katika industry ya sanaa na michezo mlitakiwa kuwa kama mlivyo?
Leo ukitoboa na jina lako Julikana ndo unapata mapokezi ya kinchi ila ulipokua unateseka kutafuta ndoto zako nchi ilikua kimia so tuzo ipo na maana gani bila kuwekeza kama sio uchawa
Dunia ya Sasa Sidhani bado iko huko 😀
Hizi tuzo zitamkosa Maghayo The Mongolian Savage maana yeye anachojua kuandika vyema ni makala za bange tu.
Hujui dunia wewe tz ni maskini kwa jina tu , ila ni matajiri , angalia katika misafara ya viongozi wako alafu sema nchi hii ni maskini au laMkuu, lazima ujue upo kwenye nchi ya aina gani.
Nchi yako bado ni Maskini. IPO chini Sana.
Kutoa Tuzo ni sehemu ya kuleta hamasa kwa vijana wasio na Ajira Kutafuta kitu chakufanya kama wenzao waliojitafuta wakapata cha kufanya na sasa wamepewa Tuzo.
Coy Mzungu kahangaika kuisimamisha Standup Comedy, kupitia yeye vijana wengi wamejiingiza kwenye kujiajiri kupitia uchekeshaji wa jukwaani.
Mazingira bora ni pamoja na kuwatangaza vijana na vipaji vyao kupitia Tuzo.
Hivi unajua kijana akipewa Tuzo mbele ya Rais inamaana gani kwenye Tasnia au fani yake?
Mazingira wezeshi kwa Vijana ni Jambo Bora Sana. Hiyo ni hoja nyingine.
Na Tuzo ni sehemu ya motisha katika mazingira Bora na wezeshi kwa Vijana kujiajiri
Walitakiwa waweje?
Nchi inapambana na mambo mengi. Kuyawezesha yote kwa pamoja ni Kazi hasa kwenye jamii ambayo watu wengi hawana Elimu.
Kwa hiyo hoja yako ni vijana waliopambana wakafika hapo walipofika wasipewe Tuzo kwa Sababu ya serikali kutokuwekeza juu Yao?
Wewe unauhakika gani serikali haijachangia ukuaji wa vipaji wa hao vijana?
Ulimwengu wa Kwanza Ndio upi?Hata ulimwengu wa Kwanza Tuzo zinatolewa Mpaka Kesho
Wewe unazungumzia Dunia ipi?
Tuzo zipo Mpaka mwisho wa Dunia
Ulimwengu wa Kwanza Ndio upi?
Hamas?
Ommy dimpoz kaandaa tuzo za comedy....,.
Hujui dunia wewe tz ni maskini kwa jina tu , ila ni matajiri , angalia katika misafara ya viongozi wako alafu sema nchi hii ni maskini au la
Ulimwengu wa Kwanza ni huu Muisrael 1 anabadilishwa na Wapalestine 101 mbele ya Rais wa Dunia Trump na mwanae Elon MuskMbatizaji naona unataka ubishi tuu.
Muulize Mzee Mgaya ulimwengu wa kwanza ni upi?
Kisha muulize kuna Tuzo huko?
Umeandika nini mkuu , soma tenaKama Tz ni tajiri mbona unasema vijana wawezeshwe?
Nchi yako ni Maskini na watu wake ni Maskini tena umaskini ule wenyewe.
Au wewe ni wale wasioangalia uhalisia wa mambo unasikiliza Maneno ya wanasiasa?
Tuandae na tuzo ya hali za maisha yetu ili tusikasirikiane.Ujinga huu kwa wana wa Adam sijui utaisha lini , yani leo tunafikiri tuzo kuliko hali za maisha yetu na watu wetu , mtoa post laana ikawe juu yako ila vizazi vyako viwe salama , wenda siku moja vikawa na fikra pevu
Mkuu nimecheka kijinga sana , do mana mpaka watu wamenishangaaTuandae na tuzo ya hali za maisha yetu ili tusikasirikiane.