Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

Ni Wazo zuri sana ila maudhui yaliyo mfumo wa maandishi sidhani kama kutakuwa na haki sababu wengi hawataona hivyo inakuwa ni vyepesi kwa serikali kutupilia chini maudhui ambayo aliyendika hajulikani sana au kama hayaendani na sera zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…