GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi


  • Total voters
    4
  • Poll closed .
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, Unabandika makala ndefu kwa ajili ya reply ya mistari miwili tu 🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,Unaandika makala ndeeeeefu kwa ajili ya reply ya mistari miwili tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

You don't have another business to Carry out??πŸ€”πŸ€”
 
bila kukukosea heshima naomba nikukumbushe, ...
. Unaowajib wa kuwaheshim na kuwaumsaidia wazee hata kama si wazazi wako.

huo ndo utanzania
Take your business Mr, unahangaika na Member mmoja kwa ajili ya jibu moja!! UHARO wako uliopost Uzi, unanajua namna ilivyowachoma watu waliopoteza ndugu zao kwa kutekwa??


Narudia Uzi wako ni WA kipuuzi kabisa, Kuna wengine wamepuuza kwa kutojibu kabisa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: UCD
hoja hujibiwa kwa hoja.
Matusi huwatoka wapumbav Tu.
(Sio wajinga ila wapumbavu)
 
Mleta mada nadhani wewe una fistula. Hivi uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA waliposhiriki walipata wabunge na madiwani wangapi. Au mwaka jana waliposhiriki uchaguzi wa mtaa walipata viti vingapi lakini chama bado kipo
 
Kamq chama kinakufa mbona mnakishambulia? Kiacheni mtaani kieneze elimu
nigga u are wrong

chadema hakijifii

chadema kipo mezani kinashughulikiwa

ccm ni adui wa chadema

ni at the ccm best interest kukiua chadema na ndio kazi ccm wanaifanya now

kusema eti kiacheni sijui blah blah inaonesha bado upo kindergarten

kiachwe kivipi wakati ni kazi ya maccm na ACT na chaumma kukimaliza chadema kama ilivyo kazi ya chadema kuua vyama vingine

hii ni war na ccm knows well how to dismantle vyama...leo mezani kwake kipo chadema kinafanyiwa chopping

usipotumia akili sawa sawa my friend u are dead!

muulize Lissu anaulizia uraia pakoje

mamaee amekuja kugundua his own freedom worths more than anything

uhuru wake umechukuliwa na maccm....

my friend uhuru wake hapati tena mpaka apige magoti kwa yule mama aombe nafate anachokitaka yeye...

tena atume maaskofu na mashehe wapanue matako yule mama awapigee madole ndio ajaribu kumsamehe

and im really worried Lissu vyuma vikianza kuozea mwilini he will be dead slowly,thats unbearable...so sorry for you fools.
 
You don't have other activities to do??πŸ˜…πŸ˜…
It's said ... Don't you have other things to do ??

Sio you don't have other things to do ??
Usiongee ama kuandika kingereza as if unaandika ama unaongea kiswahili kijana.

Sijui upo form ngapi kijana Nandagala One au ndo second year sjui ila jitahid tahid kuongeza kujifunza ngeli kijana.
 
I can see ,you have very serious problem, phycologicaly, that's why, you keep crying without genuine reason!! Sympathy can't be obtained in that manner!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Shame on you πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Lack of objectivity and particularity can be seen easily πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£
 
Natamani wapinzani wote serious waache siasa kwa miaka mitano, labda kikombe cha ghadhabu ya wananchi kitajaa au MUNGU atatoa option nyingine ya uhakika kutuvusha.
 
Kama tamaa ya vyeo na madaraka cdm imeshajivua huko,bila ya mabadiko hakuna uchaguzi,ccm inaenda kuiba kura n kufanya mauaji na si uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…