Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao wakajuwa hao wote watu wao wengine wanakuja kusikiliza tu hawahusiki katika kura wamuulize mrema alijihakikishia ushindi kwa nyomi za watu lakini akaambuilia hola sasa bado wao bora wamsikilize ACT wangefanikiwa viti vya ubunge kwenda kuona wanafanyaje bungeni lakini kukaa nje miaka mitano ni ujinga wakujitakia,
kuzuia uchaguzi ni ndoto ya mchana wanaota hawawezi na hakuna nguvu ya umma wanayoitegemea kuwasaidia kama kenya never, mwakani watakuwa wanajadiri kama walivyokuwa wanajadiri ukawa na vingine vilivyoita bila mafanikio, uongozi wa lissu umewaingiza chaka hawatakaa wasahau milele
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025