GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi

  • Total voters
    4
  • Poll closed .
Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani waytu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao wakajuwa hao waote watu wao wengine wanakuja kusikiliza tu hawahusiki katika kura wamuulize mrema alijihakikishia ushindi kwa nyomi za watu lakini akaambuilia hola sasa bado wao bora wamsikilize ACT wangefanikiwa viti vya ubunge kwenda kuona wanafanyaje bungeni lakini kukaa nje miaka mitano ni ujinga wakujitakia, kuzuia uchaguzi ni ndoto ya mchana wanaota hawawezi na hakuna nguvu ya umma wanayoitegemea kuwasaidia kama kenya never, mwakani watakuwa wanajadiri kama walivyokuwa wanajadiri ukawa na vingine vilivyoita bila mafanikio, uongozi wa lissu umewaingiza chaka hawatakaa wasahau milele
Watanzania ni wavivu sana, hivyo ukimwambia asiende kupiga kura KWELI HAENDI.

Wala hakuna haja ya kumuhonga, ndio maana wale wengine wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia watu wasiambiwe mf; kuzuia mikutano ya nrne, kupeleka watu kortini, watu kuhama hama.

Ila kama hawa wangeachwa wazunguke jamhuri nzima, asee!!! Mbona mapema tu.
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
Kama ndivyo kwanini mnakitajataja?,Kwanini msitaje vyama vingine!
 
Baada ya uchaguzi mkuu hakutakuwa tena na chadema. Yaani haitakuwepo ie there will be no chadema & no reforms after election.
 
CHADEMA walishafunga mjadala,NO REFORMS NO ELECTION

Mika 5 iliyotamatika walikuwa na Mbunge mmoja (1) tu Bungeni aliyeitwa AIDA KENANI ,Kama miaka 5 iliyopita wameweza Kuwa Chama chenye Nguvu nchi pasipokuwa na wabunge,kitakachofanya washindwe Kuwa na nguvu miaka 5 ijayo ni Nini?

Nadhani baada ya Uporaji wa October wananchi watajionea wenyewe na naamini CHADEMA inakwenda Kuja na nguvu kuliko Sasa !

Wananchi wa Leo siyo wa miaka 10 iliyopita,kila mwananchi anafahamu kinachoendelea!
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele
 
Kwa miaka zaidi ya 60 CCM wamekuwa peke yao kwenye uongozi wa nchi hii, sheria, sera, na katiba ya nchi, vyote vinawebeba wao kuendelea miaka mingine 60, vyama vingine vya siasa vimekuwa sehemu ya kubariki mfumo huo hadi leo, ndio maana wakina Zitto hawaoni shida kushiriki kuhalalisha haya.

Chadema kwa upande wao wameamua wakae pembeni wafanye jambo muhimu zaidi, kutaka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na katiba mpya ili siasa ziwe za wote na si chama tawala pekee.
 
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele

Dola ipi ambayo vyama vya upinzani vitashika pasipo mabadiliko?
 
wanajibiwa kwasababu wanajifanya kihelehele
Wao wamesema hawashiriki uchaguzi,wewe kinakuuma Nini?,kwanini wewe na CCM yako msifurahi kwasababu mnaenda kushinda Kwa kishindo bila bugudha?

Kuendelea kuwataja taja CHADEMA ni dhahiri mnaamini Bila CHADEMA hakuna uchaguzi Bali ni Ulaghai
 
hakuna kitu kama hicho chadema ni nani
 
Mnaowananga Cdm ili ishiriki uchaguzi ktk mazingira yaliopo. Ili iweJe ?!. Ili wamfurahishe nani ikiwa kura za wananchi hazizingatiwi !!
 
Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani waytu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao wakajuwa hao waote watu wao wengine wanakuja kusikiliza tu hawahusiki katika kura wamuulize mrema alijihakikishia ushindi kwa nyomi za watu lakini akaambuilia hola sasa bado wao bora wamsikilize ACT wangefanikiwa viti vya ubunge kwenda kuona wanafanyaje bungeni lakini kukaa nje miaka mitano ni ujinga wakujitakia, kuzuia uchaguzi ni ndoto ya mchana wanaota hawawezi na hakuna nguvu ya umma wanayoitegemea kuwasaidia kama kenya never, mwakani watakuwa wanajadiri kama walivyokuwa wanajadiri ukawa na vingine vilivyoita bila mafanikio, uongozi wa lissu umewaingiza chaka hawatakaa wasahau milele
Kwani wasiposhiriki wewe inakupungukia nini,ni faida ipi inapatikana kwa kumwaga damu za watuu wakishirikii ,Wasipo shiriki maana itakuwa imewalinda wanachama wao ,kitu ambacho katk nchi hii hakuna chama chochote kinachoweza kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom