Baada ya Uchaguzi haya ndio ambayo tutegemee kwa sasa

Baada ya Uchaguzi haya ndio ambayo tutegemee kwa sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Haya ndo mambo ambayo yatabaki baada ya uchaguzi. Tutegemee haya kwa kiasi kikubwa.

1. Watu wengine kuwa na hasira kila wakati na majibu ya hovyo.

2. Watu kuendelea kuwa hali ile ile waliyokuwa nayo kabla ya uchaguzi.

3. Wazazi waliopishana kwenye uchaguzi na watoto wao kunyimwa pesa za matumizi.

4. Wengi kupoteza nafasi zao mbalimbali.

5. Wengi kupata teuzi au nafasi mpya.
 
Back
Top Bottom