Inategemea na ajenda ya wakati huo.
Historia inaonyesha, kama hakuna ajenda inayohusu maslahi wananchi kwa mapana na marefu, kama uchumi kudhohofika, katiba, ajira, chakula, amani au hata akiba mifukoni mwa watu..... usitegemee uchaguzi kuwa na mvuto sana.