Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Najiuliza hili suali sababu projections za wataalamu was siasa wanaona kama Chadema imeshakufa. Na kwenye uchaguzi ujao huenda isipate hata 5% ya kura zote za uchaguzi ili wapate ruzuku hata kidogo.
Maana kila siku wanazidi kuumbuka na kukosa imani kwa wananchi. Hasa hii drama ya kutudanganya wapo Dodoma quarantine kumbe wapo Dar na sehemu zingine wanakula bata baada ya kuvuta miioni mbili na elfu arobaini za mama ntilie walipa kodi.
Je, baada ya anguko hili wataweza kukomaa kama CCK yaani maisha bila ruzuku? Na hao wanaoishi kwa mgongo wa chama wataishi vipi?
Je, wale wafadhili wa kijerumani watawapa msaada tena? Maana hata wao nasikia walishawasusa baada ya kumfanyia uhuni Dk Slaa.
Any way ngoja tusubiri tuone.