Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hiyo ni personal ishu.NI BORA KULIPIGIA JIWE KURA KULIKO CCM
CHADEMA IMEKUFA labda cuf,tadea,nccrNTASIMAMA NA JPM mpaka upinzani wa aina ya CHADEMA upite.
Miccm inajiona mijanja kuwatawala watanganyika kimabavu.Najiuliza hili suali sababu projections za wataalamu was siasa wanaona kama Chadema imeshakufa. Na kwenye uchaguzi ujao huenda isipate hata 5% ya kura zote za uchaguzi ili wapate ruzuku hata kidogo. Maana kila siku wanazidi kuumbuka na kukosa imani kwa wananchi. Hasa hii drama ya kutudanganya wapo Dodoma quarantine kumbe wapo Dar na sehemu zingine wanakula bata baada ya kuvuta miioni mbili na elfu arobaini za mama ntilie walipa kodi.
Je baada ya anguko hili wataweza kukomaa kama CCK yaani maisha bil ruzuku? Na hao wanaoishi kwa mgongo wa chama wataishi vipi?
Je wale wafadhili wa kijerumani watawapa msaada tena? Maana hata wao nasikia walishawasusa baada ya kumfanyia uhuni Dk Slaa.
Any way ngoja tusubiri tuone.
Ajabu mnahangaika nayo kila siku!Pelekeni propaganda zenu mfu kwa wajinga wenzenu!Jiwe mwenyewe akiwa anaiongelea CDM au viongozi wake mpaka mshipa wa taya unamsimama halafu wew unakuja na porojo hapa!CHADEMA IMEKUFA labda cuf,tadea,nccr
Lini mabavu yametumika? Chadema wamepoteza imani kwa wananchi wao wenyewe.Miccm inajiona mijanja kuwatawala watanganyika kimabavu.
Proganda? Au watu wanaonesha namna walivyoichoka. Yaani wanaiba pesa za walala hoi? Alafu unafurahi?Ajabu mnahangaika nayo kila siku!Pelekeni propaganda zenu mfu kwa wajinga wenzenu!Jiwe mwenyewe akiwa anaiongelea CDM au viongozi wake mpaka mshipa wa taya unamsimama halafu wew unakuja na porojo hapa!
Mmmmmmh,La kuvunda,hali ubani.Ajabu mnahangaika nayo kila siku!Pelekeni propaganda zenu mfu kwa wajinga wenzenu!Jiwe mwenyewe akiwa anaiongelea CDM au viongozi wake mpaka mshipa wa taya unamsimama halafu wew unakuja na porojo hapa!
Watanganyika haiwatawali kimabavu, ila kulee kwa maalim.Miccm inajiona mijanja kuwatawala watanganyika kimabavu.
Sio swali ni jibu. Maana kuna watu wenye maono walishaona Ccm kushinda kwa 100% 2020.Hili swali au
Lumumba propagabda zenu mfu haziwezi kuwasaidia chochote!Proganda? Au watu wanaonesha namna walivyoichoka. Yaani wanaiba pesa za walala hoi? Alafu unafurahi?
October...Lumumba propagabda zenu mfu haziwezi kuwasaidia chochote!
Jiwe tutampopoa na mawe akija kuomba kura!October...
Mmefilisika kwa kila namna kwa hoja na kifedha.Jiwe tutampopoa na mawe akija kuomba kura!