Baada ya Uchaguzi, Je Chadema itweza kuishi bila ruzuku?

Hayo ni maoni yako mtu moja hujasikia umma ukisema kwa pamoja. Pia Kama chadema imekufa povu la nn? Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa. Unadhani wananchi wamesahau, pia viongozi hao wa chadema Wana mihela yao na miradi yao nifikilie wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri kuna mtu atajikuta anatafutwa kwa udi na uvumba kule the Hage .CHADEMA wapo vizuri kuliko unavyo fikiria. Wapore matokeo ya uchaguzi waone moto wake. Piga chini Jiwe na wachumia tumbo wote.
 
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi tuone kama kweli CDM imekufa
 
Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia - JamiiForums
 
Hali ya kisiasa ikiendelea kuwa hivi na bila ya tume halali ya uchaguzi chocolate inawezekana kutokea. Inawezekana kabisa CDM isirudi na hata mbunge mmoja na ikakosa ruzuku kama unavyosema. Lakini ukumbuke tu upinzani wa kweli ni ule unaotoka moyoni na huu haujawahi kuanguka hata mara moja. (Rejea ya cuf lipumba na cuf ya seif nani alikula ruzuku na yupo wapi?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…