GE2025 Baada ya uchaguzi serikali ina kazi kubwa ya kufanya watu wengi hawana Imani nayo huo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Baada ya uchaguzi serikali itakua na kazi kubwa sana watu wengi hawana imani na serikali ya Mama huo ndo ukweli mchungu hata CCM ndani wengi tunajua ndo maana Lissu yuko jela CHADEMA hawako kwenye uchaguzi huo ndo ukweli mchungu tetesi za Ufisadi kwenye awamu mama uwajibikaji kua mdogo serikalini RUSHWA hiyo tumeona hata Jaji mkuu anasema rushwa ni tishio hii awamu.

Mama Jipange sana utashinda uchaguzi ila baada ya uchaguzi kazi itakua kubwa sana wale wanaotegemea fadhila baada ya uchaguzi najua wapo wengi na wote hutaweza kuwajaza serikali hao nao watageuka wapinzani wako. Kiufupi baada ya Uchaguzi ndo kwanza vita itaanza kubwa utegemee document nyingi za serikali za ufisadi kuvuja kila siku.
 
Mama Jipange sana utashinda uchaguzi ila baada ya uchaguzi kazi itakua kubwa sana wale wanaotegemea fadhila baada ya uchaguzi najua wapo wengi na wote utaweza kuwajaza serikali hao nao watageuka wapinzani wako. Kiufupi baada ya Uchaguzi ndo kwanza vita itaanza kubwa utegemee document nyingi za serikali za ufisadi kuvuja kila siku.
Anawategemea akina mwigulu kuimarisha uchumi wa Tanzania, tutafika kweli!?
 
Binafsi hakuna rais niliyepata kumchukia kama huyu mama, jiwe pamoja na ubabe wake ila angalau kuna mambo kadhaa alipatia kwa maslahi ya nchi...huyu mama ni SIFURI!!.
 
Anawategemea akina mwigulu kuimarisha uchumi wa Tanzania, tutafika kweli!?
Road fund ya barabara Mwigulu kaiua anampa wakati mgumu Mama kujenga barabara ili uende kwenye zahanati lazima upite barabarani Mwigulu anaitaji ajitafakari sana maana ule mfuko ulikua muhimu mno Magufuli alikua na akili sana
 
Baada ya uchaguzi serikali itakua na kazi kubwa sana watu wengi hawana imani na serikali ya Mama huo ndo ukweli mchungu hata CCM ndani wengi tunajua ndo maana Lissu yuko jela CHADEMA hawako kwenye uchaguzi huo ndo ukweli mchungu tetesi za Ufisadi kwenye awamu mama uwajibikaji kua mdogo serikalini RUSHWA hiyo tumeona hata Jaji mkuu anasema rushwa ni tishio hii awamu.

Mama Jipange sana utashinda uchaguzi ila baada ya uchaguzi kazi itakua kubwa sana wale wanaotegemea fadhila baada ya uchaguzi najua wapo wengi na wote hutaweza kuwajaza serikali hao nao watageuka wapinzani wako. Kiufupi baada ya Uchaguzi ndo kwanza vita itaanza kubwa utegemee document nyingi za serikali za ufisadi kuvuja kila siku.
Unajidanganya ...nakuakikishia hali itazidi kuwa mbaya na mbovu kuliko miaka 5 ya sasa
 
Soma vizuri
Nimesoma ...wewe unamatazamio ya huyo mama kuja kufanya mambo mema ? Wewe akili zako zina tatizo la uanithi wa akili ....Samia atazidi kulivuruga taifa siku hata siku hata wale wachache waliokuwa nyuma yake wakimuunga mkono wataanza kuingia na hofu na kujuta kwa nini wamejichafua kwa kumuunga mkono ....mwisho wa samia ni mbaya na yeye amesha anza kuujua hivyo anajipanga na kuvuta muda tu
 
Baada ya uchaguzi serikali itakua na kazi kubwa sana watu wengi hawana imani na serikali ya Mama huo ndo ukweli mchungu hata CCM ndani wengi tunajua ndo maana Lissu yuko jela CHADEMA hawako kwenye uchaguzi huo ndo ukweli mchungu tetesi za Ufisadi kwenye awamu mama uwajibikaji kua mdogo serikalini RUSHWA hiyo tumeona hata Jaji mkuu anasema rushwa ni tishio hii awamu.

Mama Jipange sana utashinda uchaguzi ila baada ya uchaguzi kazi itakua kubwa sana wale wanaotegemea fadhila baada ya uchaguzi najua wapo wengi na wote hutaweza kuwajaza serikali hao nao watageuka wapinzani wako. Kiufupi baada ya Uchaguzi ndo kwanza vita itaanza kubwa utegemee document nyingi za serikali za ufisadi kuvuja kila siku.
Hali ya maisha 2025-2030 ndio kinachoenda kuitoa CCM madarakani kama kumsukuma mlevi!

Hakuna anaejali maslahi ya Tanganyika na Maguful aliweka standards za juu sana kiungozi,walichoweza kukopi utawala huu ni kuteka na kuua sio miradi ya maendeleo na uwajibikaji!
 
Back
Top Bottom