Endapo Iran ikajibu mashambulizi kwa kupiga majirani zake hasa falme za kiarabu kwa kupiga miundombinu ya mafuta, maji, airports, data centers, cable za internert baharini nk basi atapanua wigo mpana zaidi wa vita.
Ikitokea US akapiga hiyo miundombinu ya nishati hapo Iran, raia watateseka sana.
Ndio hapo kwasasa wameshindwa kupigana na Iranian zaidi wanafanya Siasa za Uchaguzi!!!Kwaio Iran itapigwa tu yenyewe haitajibu ?
😁😁😁Endapo Iran ikajibu mashambulizi kwa kupiga majirani zake hasa falme za kiarabu kwa kupiga miundombinu ya mafuta, maji, airports, data centers, cable za internert baharini nk basi atapanua wigo mpana zaidi wa vita.
Ikitokea US akapiga hiyo miundombinu ya nishati hapo Iran, raia watateseka sana.
DahMasahihisho, sio kwamba Trump anapanga, hapana. Ni Trup kutoa idhinisho, CENTCOM na Israel imeshapanga kila kitu, na kinachosubiriwa ni idhini ya Trump tu, US imeona hiyo operation ianze baada ya uchaguzi wao kuisha.
TARGETS ni hizi…
1. Nishati ya Umeme, Trump amethibitisha kuwa US itaenda kupiga miundombinu mikuu ya Umeme ya Iran.
2. Netanyahu nae ametoa shinikizo kali zaidi kwa kupiga mitambo mikuu ya Gas.
3. Kiwanda kikuu cha kuchakata mafuta nacho wamekitaja kuwa kitaenda kupigwa.
Sehemu hizo tatu ikiwa zikapigwa kweli, basi ni anguko KUU kwa maisha ya wananchi ndani ya Iran na pato kuu la nchi ya Iran. Hiyo mioyo ya nchi ya Iran kwa mapato na kuishi kwa raia wake.
Vyombo kadhaa vya habari vimeripot kuwa kwa sasa nchi nzima ya Iran kila nyumba ni kama duka dogo, yaani watu wameweka stocks kadhaa ijapokuwa vitu vimepanda bei zaidi ya mara tatu yake, mashambulizi yakirudi tena itakuwa ni zaidi na zaidi.
Iran ina reserves kubwa sana ya mafuta lakini sio mafuta ya kutumika, uwezo wa Iran kutumia akiba hiyo pamoja na Gas sio kuzidi wiki 2 hadi 3 sababu wao hawana reserve kubwa ya refined oil kutokana na sunctions walizowahi kupigwa huko nyuma. Na endapo kile kiwanda kikapigwa, hata mnunuzi mkuu wa mafuta yake kwa siri China hatoweza tena kununua.
Jana waziri wao wa mafuta ameomba wananchi wapunguze matumizi ya mafuta kwa 10%, sasa hapo bado mashambulizi mapya hayajaanza. Raia wa Iran watateseka mno endapo sehemu hizo za nishati zikipigwa. Kuna baadhi ya maeneo wanaishi kwa mgao wa umeme baada ya Israel kupiga sehemu ndogo sana ya nishati ya Gas ile June.
Kwamba muajemi hajafanya hii analysis? Tofauti ya muajemi na wazayuni ni akili na mipango vinginevyo Iran angeshindwa vita mapema, lakini wairani wana akili nyingi sana kumshinda mzungu na muyahudi hivyo hawataweza na matokeo yake middle east na Israel hapatakalika kama watafanya kosa hilo la kushambulia miundombinu wait you will seeMasahihisho, sio kwamba Trump anapanga, hapana. Ni Trup kutoa idhinisho, CENTCOM na Israel imeshapanga kila kitu, na kinachosubiriwa ni idhini ya Trump tu, US imeona hiyo operation ianze baada ya uchaguzi wao kuisha.
TARGETS ni hizi…
1. Nishati ya Umeme, Trump amethibitisha kuwa US itaenda kupiga miundombinu mikuu ya Umeme ya Iran.
2. Netanyahu nae ametoa shinikizo kali zaidi kwa kupiga mitambo mikuu ya Gas.
3. Kiwanda kikuu cha kuchakata mafuta nacho wamekitaja kuwa kitaenda kupigwa.
Sehemu hizo tatu ikiwa zikapigwa kweli, basi ni anguko KUU kwa maisha ya wananchi ndani ya Iran na pato kuu la nchi ya Iran. Hiyo mioyo ya nchi ya Iran kwa mapato na kuishi kwa raia wake.
Vyombo kadhaa vya habari vimeripot kuwa kwa sasa nchi nzima ya Iran kila nyumba ni kama duka dogo, yaani watu wameweka stocks kadhaa ijapokuwa vitu vimepanda bei zaidi ya mara tatu yake, mashambulizi yakirudi tena itakuwa ni zaidi na zaidi.
Iran ina reserves kubwa sana ya mafuta lakini sio mafuta ya kutumika, uwezo wa Iran kutumia akiba hiyo pamoja na Gas sio kuzidi wiki 2 hadi 3 sababu wao hawana reserve kubwa ya refined oil kutokana na sunctions walizowahi kupigwa huko nyuma. Na endapo kile kiwanda kikapigwa, hata mnunuzi mkuu wa mafuta yake kwa siri China hatoweza tena kununua.
Jana waziri wao wa mafuta ameomba wananchi wapunguze matumizi ya mafuta kwa 10%, sasa hapo bado mashambulizi mapya hayajaanza. Raia wa Iran watateseka mno endapo sehemu hizo za nishati zikipigwa. Kuna baadhi ya maeneo wanaishi kwa mgao wa umeme baada ya Israel kupiga sehemu ndogo sana ya nishati ya Gas ile June.
Unaposema Iran ana akili nyingi kuliko mzungu sijui una maana gani.Kwamba muajemi hajafanya hii analysis? Tofauti ya muajemi na wazayuni ni akili na mipango vinginevyo Iran angeshindwa vita mapema, lakini wairani wana akili nyingi sana kumshinda mzungu na muyahudi hivyo hawataweza na matokeo yake middle east na Israel hapatakalika kama watafanya kosa hilo la kushambulia miundombinu wait you will see
Iran anasumbuliwa na kutengwa tu mataifa mengi kiuchumi Iran anatengeneza ndege zake atazindua 2027 mwanzoni, angalia level za wasomi wa Iran na ulaya hasa wanawake ndio utajua utofauti uko wapi. Hesabu zilizopigwa na wazungu na Marekani pamoja na vikwazo hii vita Iran asingeweza kutoboa kama si mipango na akili kwa taarifa NATO walitoa ndege elfu 5 walivyo wanafiki ili Iran waangamie.Unaposema Iran ana akili nyingi kuliko mzungu sijui una maana gani.
1. Gas na mafuta Iran imeshindwa kuimprove sababu vipuri hawana, alivyoweka mzungu unayemponda ndio hivyo hivyo hadi leo.
2. Rais alifariki wa ajali ya helcopter ambayo ni ya mzungu, Iran hakuunda zake, hadi sasa Iran bado inatumia F16 za mzungu.
3. US na Israel waliozidiwa akili na Iran, wanaingia hapo Iran na kutoka watakavyo. Ndege zaidi ya 200 zipo angani takribani wiki nzima na hakuna lolote imefanya. Unasema Iran ana akili kuliko hao jamaa ikiwa hadi Top leaders wanauliwa nchini kwake kadri US na Israel watakavyoamua.
Sikiliza Mkuu, vita inagharimu maisha ya watu, mtu akitokwa na uhai hauwezi kurudi tena. Binafsi naangalia zaidi maisha ya raia wa Iran kuliko mapigano ya kijeshi ya nchi hizo husika. Raia wa Iran hadi sasa ndio wanateseka sana saana kuliko Israel na US, hapo bado wanaambiwa kuna mashambulizi mengine heavy yanakuja, so kwa kawaida hapo hakuna tena kuwaza kufanya biashara, ajira zinafungwa, watu wanahama nyumba mijini na kwenda kijijini ili kujisitiri na kurahisisha kuyakabili maisha dhidi ya njaa, watu wanaishi kwa hofu kuu, mali za watu kupotea na maisha yao pia.
Hao wajinga mpaka karne hii eti bado wanajifunza kupasua matofali na kuvuta magari kwa kamba.Awamu hii tutaomba jw liisaidie iran ili kumchapa marekan na kumfuta kabisa kwenye uso wa dunia
Alipouawa Ayatollah na familia yake walijibu?Kwaio Iran itapigwa tu yenyewe haitajibu ?