GE2025 Baada ya uchaguzi Wamaasai wa Ngorongoro watajuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi,

Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta.

Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026.

Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
 
Hakuna rangi wataacha ona ,yule bibi amewaweka reserve ngoja afanikishe jambo lake.Tutaona idadi kubwa ya walinzi,wauza dawa na wasusi wengi wa kimasai 2026
 
Ngorongoro na serengeti maeneo mengi kashachukua ridhiwani wanachimba madini..

Ifike hatua mtu aridhike fikiria una tilioni 3 bado tu unataka uibe hapo sini generation 4 kabisa.?
 
 
Ngorongoro na serengeti maeneo mengi kashachukua ridhiwani wanachimba madini..

Ifike hatua mtu aridhike fikiria una tilioni 3 bado tu unataka uibe hapo sini generation 4 kabisa.?
Yaani unamanisha bilioni elfu tatu ?
Tumsifu Yesu Kristu
 
Awamu ya sasa inaweza kuwa sawa na ile minada ya kila wiki mara 1 au 2, nenda na pesa yako kila kitu kipo sokoni.
 
Hahaha… Mkuu, Biblia inasema: “Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…