KAMA WW UNAAMINI SERIKALI INAMASHIKO BAS WW NA MAMA YAKO ITAWAONGOZENHata mmasai asipopiga kura CCM itaunda serikali🤣
Sidhani kama watakaojuta ni Wamaasai peke yao!Heshima sana wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta.
Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026.
Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
Na wacheza shoo kwenye klabu zetu za chimpumuHakuna rangi wataacha ona ,yule bibi amewaweka reserve ngoja afanikishe jambo rangi.Tutaona idadi kubwa ya walinzi,wauza dawa na wasusi wengi wa kimasai 2026
Hilo halina mbambambaKuleni Kwa urefu wa kamba zenu😂
hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.Heshima sana wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta.
Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026.
Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
Ccm mtandaoHata mmasai asipopiga kura CCM itaunda serikali🤣
Hamna uchaguzi mwaka huu.✍️Heshima sana wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta.
Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026.
Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
Kama kuna mmasai ataenda kupiga kura nitamdharau sana
Hashtag imenyooka, #kataa_wahunihakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.
#KATAA WAHUNI#
CapitalismIla mfuko wa nchi ni WA kijinga, waza mtu anatoka mtwara anakuja kuchukua Mali ya watu wa Tanga. Anajineemesha yeye kwa ubinafsi wa kibindamu ulivyo. Yaani hapa Kila mtu anajiwazia yeye mwenyewe.
Hii kitu imevuja kila mahaliHeshima sana wanajamvi,