GE2025 Baada ya uchaguzi Wamaasai wa Ngorongoro watajuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sidhani kama watakaojuta ni Wamaasai peke yao!
Kila Mtanganyika atajuta...wa ccm na wengineo!
 
Hakuna rangi wataacha ona ,yule bibi amewaweka reserve ngoja afanikishe jambo rangi.Tutaona idadi kubwa ya walinzi,wauza dawa na wasusi wengi wa kimasai 2026
Na wacheza shoo kwenye klabu zetu za chimpumu
 
hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.

#KATAA WAHUNI#
 
Hamna uchaguzi mwaka huu.✍️
 
Ila mfuko wa nchi ni WA kijinga, waza mtu anatoka mtwara anakuja kuchukua Mali ya watu wa Tanga. Anajineemesha yeye kwa ubinafsi wa kibindamu ulivyo. Yaani hapa Kila mtu anajiwazia yeye mwenyewe.
 
Vise versal is true
Dpw na mwekezaji wa kiarabu wa ngorongoro wajiandae.
Lipo jambo lipo jambo lipo jambo!
Amen.
 
Hii kitu imevuja kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…