Room 28
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,077
- 1,736
Wakuu,
Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!!
Nataka nifuge hivi sasa!
Kwa ajili ya chakula tu kwangu
Maoni ya Mdau
Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!!
Nataka nifuge hivi sasa!
Kwa ajili ya chakula tu kwangu
Maoni ya Mdau
Kipindi niliwahi kufuga.. nilianza na vitatu ghafla vinazaliana balaa vilifika zaidi ya 100 ndani ya muda mfupi, hadi wanakishinda kuhudumia muda wa kuwatafutia majani nakosa mitikasi narudi muda umeenda chakula kikuu ikawa ni pumba , wakanenepeana balaa
Kuna jamaa aliniunganisha na meneja flan wa hoteli flani nikawa nawauzia mdogo mdogo .... tunachinja kiasi kadhaa , tunapima kwa kilo unaondoa miguu, kichwa na utumbo
30k per kg, back then 2018 huko muda wa kuvihudumia nikakosa nikaacha kuvifuga nyama tamu sana .... kuna mtu namjua anafuga, nikitamani nyama yake naenda kununua
