Kipndi niliwah kufuga.. nilianza na vitatu .... ghafla vinazaliana balaa... vilifika zaidi ya 100 ndani ya muda mfupi, hadi wanakishinda kuhudumia... muda wa kuwatafutia majani nakosa.... mitikas narudi mda umeenda.... chakula kikuu ikawa ni pumba , wakanenepeana balaa ...
.Kuna jamaa aliniunganisha na meneja flan wa hoteli flani nikawa nawauzia mdogo mdogo .... tunachinja kiasi kadhaa , tunapima kwa kilo... unaondoa miguu, kichwa na utumbo...
30k per kg, back then 2018 huko .. muda wa kuvihudumia nikakosa nikaacha kuvifuga... nyama tamu sana .... kuna mtu namjua anafuga, nikitamn nyama yake naenda kununua