Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura, Nitatoboa kweli?

Kumbe vina soko
 
Ukishindwa kufuga sungura sasa ufuge ndevu kiongoz.

Msabato anakwambia hali sungura yaani wana wa israel ndo walikatazwa lakini msabato wa kwa mfuga mbwa anasema bible inakataa
Mkuu umejuaje ndevu ninazo kama zote
 
Mimi kuna hawa viumbe kama Sungura au njiwa nawapenda kama urembo tu ila sio kuwachinja na kula nawaonea huruma sana.
Kama sungura labda nikanunue nyama yake kama kuna duka wanakouza ila sio kumuona anavyochinjwa
 
Nilimlisha jamaa mmoja wakati tukiwa vijana bila kumwambia, akafakamia anafikiri Bata kuja kukutana na mfupa wa paja akauliza Bata gani ana mpaka wa hivi? Baadaye ndiyo nikaja nikamhadithia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…