Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
unajifunza kutokana na makosa huwezi kuwa tayari utaalamu unakujaga mbele ya safarkuna msimu unaweza kukuta kuku zinaugua hadi unadhan umelogwa zinakufa balaa kama huna utaalamu bora usifuge kwanza.
Mkuu yani umeinvest karibu 100k halafu paaapu inateketea ni kukata tamaa na kusikitika sana! labda uwe na uvumilivu tu!unajifunza kutokana na makosa huwezi kuwa tayari utaalamu unakujaga mbele ya safar
kila kitu na changamoto zake ukikata tamaa au kusikitika hautabadili matokeo inatakiwa ufikili umejifunza nin ambacho kitakusaidia kufikia mafanikioMkuu yani umeinvest karibu 100k halafu paaapu inateketea ni kukata tamaa na kusikitika sana! labda uwe na uvumilivu tu!
Kweli mkuu... kila kitu kinahitaji uvumilivu, tatizo tunahitaj mafanikio ya haraka bila kutambua changamoto zilizoko mbele yetu!kila kitu na changamoto zake ukikata tamaa au kusikitika hautabadili matokeo inatakiwa ufikili umejifunza nin ambacho kitakusaidia kufikia mafanikio
hakikaKweli mkuu... kila kitu kinahitaji uvumilivu, tatizo tunahitaj mafanikio ya haraka bila kutambua changamoto zilizoko mbele yetu!
hata nyuki ni nzi aliyechangamkaSungura ni paka aliyechangamka
Wewe na huyo psAlm 103 ni ID za mtu mmoja.hakika
unaushahid mkuu ni zamtu mmoja? Psalm 103 nisaidie kumjb huyuWewe na huyo psAlm 103 ni ID za mtu mmoja.
Hivi huu ujinga mnawezaje au ndo matatzo ya akil?
Hivi hawa sungura si wana makucha mnawalaje?Sungura ukimkamta kuanza kumchinja hufikirii chochote mara mbili?
Sijawahi kula, ila itakua kama inavyoliwa miguu ya kuku tu.Hivi hawa sungura si wana makucha mnawalaje?
Nina wazo kama hili,nifuge kwa mboga tu kila mara,na hivyo sipendi makelele kabisa!Wakuu,
Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!!
Nataka nifuge hivi sasa!
Kwa ajili ya chakula tu kwangu
Huelewi kitu wewe, thus why utofauti wa panthera na oryctolagus huujuiSungura ni paka aliyechangamka
Upo sahihi mimi pia naandaa mabanda Mkojo wao ni muhimu sana kwa sisi wakulima. Hii nimehakikisha mwenyewe.Wakuu,
Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!!
Nataka nifuge hivi sasa!
Kwa ajili ya chakula tu kwangu