Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni.

Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna.



Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili ashushie na juice ya matunda mchanganyiko.

Hapa kaisha maliza kula wakuu, ngoja nitoe vyombo nikaoshe alafu nije room nimnawishe alafu nifute meza.
 
Swala la kumridhisha Mtu mzima mwenye meno 32 kama wewe ni ndoto za bunuwasi, ebu jifunze kupotezea kisha uje unishukuru baadaye.
 
Oooh am craving for the fish🀀🀀🀀
 
Swala la kumridhisha Mtu mzima mwenye meno 32 kama wewe ni ndoto za bunuwasi, ebu jifunze kupotezea kisha uje unishukuru baadaye.
Punguza wivu mkuu.....πŸ˜‚
Ndio nimemaliza kuosha vyombo...🀣
 
Reactions: THT
Hapo lazma arudishe moyo ndani.

Kama amekula hivyo basi dukuduku limeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…