Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

Kila nikijaribu kuconcetrate na msosi macho yananipeleka kwenye floor..hakika inapendeza.
Shem lake......
Kumbe siku zinaendraaaa kasikasi eeehhh...🤨
 
Kumbe miaka inakimbia kwa kasi eehhh...🙄🙄
 
Swala la kumridhisha Mtu mzima mwenye meno 32 kama wewe ni ndoto za bunuwasi, ebu jifunze kupotezea kisha uje unishukuru baadaye.
Kajifunze kwa Elon Musk, Jeff Bezoz na Bill Gate kati ya wengi, kisha nenda kwa Adam mwanadamu wa kwanza na kisha kwa muumba mwenyezi Mungu. Kawapa kucha, kope nk lakini wanataka za ziada. Wao wenyewe hawaridhiki na modifikesheni au make up walizobuni wenyewe wiki moja tu wanatoa na kuweka kingine.

Kazana kumfurahisha hadi siku akikuambia haumridhishi, uje unitafute mimi, nipo hapa JF nakusubiri.
 
Sisi tuliolazimisha ndoa ukinuna ndiyo kama unamfukuza nyumbani mwisho unajichekesha mwenyewe.
Umenikumbusha mlevi mmoja alirudi nyumbani saa 5 usiku mkewe akakataa kufungua mlango huku akisema kumwambia mumewe :
"Rudi ukalale huko huko kwenye ulevi wako" Yule mlevi akafurahi sana kupewa ruhusa ya kulala nje maanake hiyo saa 5 pia alikuwa anaona karudi mapema sanaaaa!!
Jamaa akarudi kupiga tungi hadi asubuhi.
 
🤣🤣😂😃😄
Acha fix mkuu, wewe ulikuwa wapi muda huo.

Ulimsidkiza jamaa hadi kwake?

Ulijuaje amerudi kupiga tungi hadi asibuhi.

Alikukuta baa mkakesha wote?😅
 
Back
Top Bottom