Baada ya Uislamu wanaofuata kwa kujiona wakamilifu ni Wasabato

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
 
Kwanza kabisa nipende kumshukuru mama.. na sote tuimbeeeee
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Acha porojo.
 
Hoja yako ni hafifu sana.
Nitajaribu kukujibu hapa hapa.
Kila imani ina amini ndio iko sahihi zaidi kuliko imani nyingine, tofauti na hivyo imani hiyo haina sababu ya kuanzishwa kwake, kuendelea kuwepo au kutofautiana na imani nyingine.

Kama wasabato wanaamini imani yao ni sahihi zaidi basi wako sahihi kabisa kufanya hivyo na ndivyo imani zote zinafanya hivyo. Ukienda kwenye Ukatoliki, Ulutheri, Upentekoste hata imani ya Kihindu hali ni hiyo hiyo.

Tukija kwenye kulazimisha uamini imani fulani, hilo jambo haliwezikani milele. Imani ni suala la moyoni, tena binafsi sana, hakuna namna linaweza kulazimishwa kukaa moyoni mwa mtu. Hata Uislamu hauwezi kulazimishwa kuaminiwa, kinachoweza kulazimishwa ni unafiki wa kufanya vitendo fulani vya kuonyesha wewe unaabudu imani fulani, na hilo huweza kufanywa na tawala zenye mlengo wa kujificha kupitia imani hizo. Katika historia, zipo tawala ziliwahi kujificha kwenye ukatoliki na zikaishia kuulazimisha ukatoliki kuwa imani ya watu wote katika tawala zao. Hivyo hilo suala sio la kiimani bali itikadi za tawala za kisiasa.
 
Hawawezi kuanzisha vurugu kwani dini yeyote ya kikristo haina misingi ya vurugu. Kilichopo ni watu kwa hiyari yao kufanywa watumwa wa kutoa fedha kwa viongozi wa dini.
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Watu wameelimika now
 
Ungeishi kwa shida sana kipindi cha Bwana yesu
Maana alipinga makanisa yote ya wakati huo hadi wakamtimua kanisan
Wewe huna kitu tofauti na mafarisayo na masadukayk ambao hawakutaka kurekebishwa
 
ibada zao wako busy na mahubiri ya kuponda imani nyingine za kikristo, ndio kanisa linaloongoza kwa umaskini
 
Mimi labda nichangie kidogo kuna dhehebu moja ndani ya ukristo hujihisi wao ndio bora kuliko madhehebu yote wao wapo karibu na Muumba hawakosei wao ndio pekee walio umbwa kwa mfano wa Mungu yaani biblia ililetwa pekee kwa ajili yao.

Yaani wao ndio yale makabila kumi na mbili wao ndio wale wanafunzi wa yesu nafikiri hao ni hatari kuliko wasabato na waislamu wana matendo machafu kinyume cha maandiko!
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Nitajie sheria moja katika uislamu inayokunyima raha ya maisha
 
Ungeishi kwa shida sana kipindi cha Bwana yesu
Maana alipinga makanisa yote ya wakati huo hadi wakamtimua kanisan
Wewe huna kitu tofauti na mafarisayo na masadukayk ambao hawakutaka kurekebishwa
Aisee
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Hawatafika huko kamwe, tungeshasikia hilo USA miaka ya 1800 Mwishoni na 1900 mwanzoni chini ya kina Miller
 
Hoja yako ni hafifu sana.
Nitajaribu kukujibu hapa hapa.
Kila imani ina amini ndio iko sahihi zaidi kuliko imani nyingine, tofauti na hivyo imani hiyo haina sababu ya kuanzishwa kwake, kuendelea kuwepo au kutofautiana na imani nyingine.

Kama wasabato wanaamini imani yao ni sahihi zaidi basi wako sahihi kabisa kufanya hivyo na ndivyo imani zote zinafanya hivyo. Ukienda kwenye Ukatoliki, Ulutheri, Upentekoste hata imani ya Kihindu hali ni hiyo hiyo.

Tukija kwenye kulazimisha uamini imani fulani, hilo jambo haliwezikani milele. Imani ni suala la moyoni, tena binafsi sana, hakuna namna linaweza kulazimishwa kukaa moyoni mwa mtu. Hata Uislamu hauwezi kulazimishwa kuaminiwa, kinachoweza kulazimishwa ni unafiki wa kufanya vitendo fulani vya kuonyesha wewe unaabudu imani fulani, na hilo huweza kufanywa na tawala zenye mlengo wa kujificha kupitia imani hizo. Katika historia, zipo tawala ziliwahi kujificha kwenye ukatoliki na zikaishia kuulazimisha ukatoliki kuwa imani ya watu wote katika tawala zao. Hivyo hilo suala sio la kiimani bali itikadi za tawala za kisiasa.
Tatizo la Wasabato, huwa wanatumia muda mwingi kupambana na wakatoliki kuliko kuhubiri kile wanachoamini. Bahati nzuri, wakatoliki wamejawa na hekima, huwa hawahangaiki na anayewabeza au mpotoshaji. Kama wakatoliki wangekuwa kama wasabato, yaani waanze kubishana nao, kungekuwa na uhasama mkubwa.

Wasabato, mahubiri yao ni kama waliambiwa wataifikia pepo kwa kuukashfu ukatoliki.
Wakatoliki waendelee hivyo hivyo, waendelee na mahubiri ya kile wanachokiamini kuliko kupoteza muda kushindana na wanaowadhihaki.
 
Mimi labda nichangie kidogo kuna dhehebu moja ndani ya ukristo hujihisi wao ndio bora kuliko madhehebu yote wao wapo karibu na Muumba hawakosei wao ndio pekee walio umbwa kwa mfano wa Mungu yaani biblia ililetwa pekee kwa ajili yao,
Yaani wao ndio yale makabila kumi na mbili wao ndio wale wanafunzi wa yesu nafikiri hao ni hatari kuliko wasabato na waislamu wana matendo machafu kinyume cha maandiko!
Hakuna dhehebu wala dini iliyojaa watakatifu peķee. Dini zote na madhehebu yote, kuna wadhambi, hata kwa kipimo cha kibinadamu. Na hilo Kristo aliliona na aliwaambia aliowahubiria wakati huo akisema, "yaache magugu na ngano vikue pamoja. Wakati wa mavuno, ngano itawekwa ghalani, na magugu yatachomwa moto"
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Heeeeeee tena
 
Naona unapagawa, wahuni tutapanunua usijali.

Misingi ya imani inasisitiza uhuru wa kuabudu sio kama kule Majangwani huku haki za binadamu zinazingatiwa Sheikh.
 
Nyuzi kama hizi zinachochea udini bila sababu ya msingi, mtu kaamka kapigwa kibunda na mchungaji wake,au tukio na mkewe mama wa kanisani au kalazimishwa ibada na Boss wake mwarabu pale Kariakoo basi anakuja kutoa hitimisho humu.

Acheni hizi bhana ungekuja na mifano basi wapi wameanza kufanya hivho unavyowashutumu watu?
 
Back
Top Bottom