Baada ya Uislamu wanaofuata kwa kujiona wakamilifu ni Wasabato

Baada ya Uislamu wanaofuata kwa kujiona wakamilifu ni Wasabato

Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Wasabato ni waumini flani mambumbu sana.
Hata ukiwakuta college au makazini wana tabia ya kujitenga tenga wanajiona their superior.
 
Hoja yako ni hafifu sana.
Nitajaribu kukujibu hapa hapa.
Kila imani ina amini ndio iko sahihi zaidi kuliko imani nyingine, tofauti na hivyo imani hiyo haina sababu ya kuanzishwa kwake, kuendelea kuwepo au kutofautiana na imani nyingine.

Kama wasabato wanaamini imani yao ni sahihi zaidi basi wako sahihi kabisa kufanya hivyo na ndivyo imani zote zinafanya hivyo. Ukienda kwenye Ukatoliki, Ulutheri, Upentekoste hata imani ya Kihindu hali ni hiyo hiyo.

Tukija kwenye kulazimisha uamini imani fulani, hilo jambo haliwezikani milele. Imani ni suala la moyoni, tena binafsi sana, hakuna namna linaweza kulazimishwa kukaa moyoni mwa mtu. Hata Uislamu hauwezi kulazimishwa kuaminiwa, kinachoweza kulazimishwa ni unafiki wa kufanya vitendo fulani vya kuonyesha wewe unaabudu imani fulani, na hilo huweza kufanywa na tawala zenye mlengo wa kujificha kupitia imani hizo. Katika historia, zipo tawala ziliwahi kujificha kwenye ukatoliki na zikaishia kuulazimisha ukatoliki kuwa imani ya watu wote katika tawala zao. Hivyo hilo suala sio la kiimani bali itikadi za tawala za kisiasa.
Nchi gani zaidi ya Vatican iliyoweza kuendeshwa Kikatoliki???
 
Mimi labda nichangie kidogo kuna dhehebu moja ndani ya ukristo hujihisi wao ndio bora kuliko madhehebu yote wao wapo karibu na Muumba hawakosei wao ndio pekee walio umbwa kwa mfano wa Mungu yaani biblia ililetwa pekee kwa ajili yao.

Yaani wao ndio yale makabila kumi na mbili wao ndio wale wanafunzi wa yesu nafikiri hao ni hatari kuliko wasabato na waislamu wana matendo machafu kinyume cha maandiko!
Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume (Mathayo 16:16-17)
 
Kama vile unavyoamini uhuni wako ni sahihi kuliko imani za watu, Wewe mwenyewe kuishi kwa ujanjaujanja kunawasibu wengine ila wanakuvumilia tu kwakuwa umeamini uhuni wako ndio uhuru wa kweli.
Kufurahia maisha ni chaguo, wewe kama umechagua ulevi, unafiki, uzinzi na wizi na makelele yasiyokuwa na mpangilio na bar au kumbi za starehe ndio furaha wenzanko wamechagua ibada, mipaka ya kweli , utulivu na nyumba zao za kupata raha za milele ni makanisani na misikitini ndio furaha yenyewe. Hata imani ya kuamini wanawake wakivaa vimini ndio kupendeza na furaha na wanaume kuoana ni uhuru nazo ni imani hatari kwani zitakuja kuleta shida baadae kwa wengine.
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
Wasabato ni waislam ndan ya ukirsto.
 
Maisha ya mfungo wa Ramadhani kule Zsheria hiyo imesema watu wa Zanzibar wote wafunge? Wewe majnun tofautisha sheria za watu na za dini, Zanzibar walikubaliana wenyewe kuwa ikifika mfungo watu wasile hadharani kwa kufanya dhihaka ili kuwaonyesha waliofunga, sasa wewe ukila ndani kwako tatizo liko wapi? Mbona mchana hufanyio mapenzi na mkeo hadharani wakati mapenzi ya mke na mume ni halali kabisa?
 
Mambo ya imani yako ndani ya moyo na si nje,ukikwazwa na unayoyaona nje basi imani yako ni mfu.
 
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya MUNGU na dini (madhehebu) na watu Wengi inawachanganya

Jichunguze NDANI Yako we ni muamini wa MUNGU au dini (madhehebu)

Yakobo 1.27

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa"

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, 👇

1/ Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao,

2/na kujilinda na dunia pasipo mawaa

Ndugu unawakumbuka yatima na wajane? , Unajilinda na dunia hi ?

dunia ni TAMAA na KIBURI 👉 TAMAA ni kwa Macho na mwili

dini safi na ya kweli ni hiyo Apo acheni kupotoshana 👉Hapo MUNGU ajasema sabato, katholiki, Lutheran, islamu, induism, walokole, anglikana na mengineyo mengi Ndio dini ya Kweli

Dini ya Kweli ni hali ya NDANI ya mtu (i.e Moyoni) na Sio nje Kama watu Wengi wanavyodhani
 
Wasabato mahubiri yao hayana mtizamo wa kumvuta mtu kwa mungu Bali kufundishana mbinu za kutukana na kukashifu makanisa mengine yasiyo ya kisabato huku wakijilinda na vifungu vichache vichache,jukumu la kwanza ukijiunga sabato ni kufundishwa namna ya kukashifu madhehebu mengine yasiyo ya kisabato hususani ukatoliki na papa,Tena papa kwa Imani ya kisabato ndiyo Raisi wa mashetani wote wa Dunia,wewe hata Kama ni muuaji Ila hauabudu kanisa katoliki,basi dhambi zako ni nyepeso kuliko asiye muuaji Ila anasali katoliki kwa kadri ya miiko na Imani ya kisabato
 
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya MUNGU na dini (madhehebu) na watu Wengi inawachanganya

Jichunguze NDANI Yako we ni muamini wa MUNGU au dini (madhehebu)

Yakobo 1.27

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa"

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, 👇

1/ Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao,

2/na kujilinda na dunia pasipo mawaa

Ndugu unawakumbuka yatima na wajane? , Unajilinda na dunia hi ?

dunia ni TAMAA na KIBURI 👉 TAMAA ni kwa Macho na mwili

dini safi na ya kweli ni hiyo Apo acheni kupotoshana 👉Hapo MUNGU ajasema sabato, katholiki, Lutheran, islamu, induism, walokole, anglikana na mengineyo mengi Ndio dini ya Kweli

Dini ya Kweli ni hali ya NDANI ya mtu (i.e Moyoni) na Sio nje Kama watu Wengi wanavyodhani
Yesu alisema,"Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa ambalo hata milango ya kuzimu haitalifunga." Kwa hiyo Kanisa la kweli lipo lililoanzishwa na Yesu Kristo mwenyewe nafsi ya pili ya Mungu ambalo linaenzi mafundisho yake,"Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.(Mark 16:16)
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
Ukiona kuna sheria kali kwenye dini basi ujue wewe si muumini wa hiyo dini, na kwenye dini hakuna kulazimishana na ujue kuwa uhuru wako unakoma pale wa mwenzako unapoanza. Jamii ya watu wenye utimamu wa akili huwa hawafuati matamanio ya nafsi zao bali huangalia athari ya jambo katika maslahi mapana ya jamii husika.
 
Yesu alisema,"Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa ambalo hata milango ya kuzimu haitalifunga." Kwa hiyo Kanisa la kweli lipo lililoanzishwa na Yesu Kristo mwenyewe nafsi ya pili ya Mungu ambalo linaenzi mafundisho yake,"Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.(Mark 16:16)
Wasabato wakiwakosoeni, mnasema wanawatukaneni.
Mungu hana nafsi mbili, Mungu Ana nafsi moja.
Anasema katika biblia:, KWA NAFSI YANGU(SIO NAFSI ZANGU) NINA APA.
 
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
Huwa wanaungana na waislamu kwa mambo mawili
Kutokula kitoweo pendwa na kumchukia Papa
 
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.

Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.

Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
Haaahaa,
Yaan wasabato wanaabudu siku..na waislamu ukichinja mwenyewe wanasema kibuduu Hawa watu wanajionaga SANAAA.
 
Back
Top Bottom