CHANANJA DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 772
- 1,121
hakuna dini wala dhehebu litakalo mpeleka mwanadamu kwa mwenye enzi muumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo tuu dini hata binadamu wa kawaida huwa anajisikia anakubalika sana mbele za Mungu kumbe mweupe tuu.Dini ya ukweli ni kumpenda Mungu na wanadamu wenzako.Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato.
Kuna MUNGU MMOJA katika nafsi tatu BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU.Wasabato wakiwakosoeni, mnasema wanawatukaneni.
Mungu hana nafsi mbili, Mungu Ana nafsi moja.
Anasema katika biblia:, KWA NAFSI YANGU(SIO NAFSI ZANGU) NINA APA.
HongeraNjoo uingie makanisani kwetu ndio utajua kama sisi ni watakatifu au ni vipi.
Hata hivyo, ninapofanyia ibada sijasikia lolote kuhusu kujisifu wala kujiinua kuwa wasabato ni dhehebu peculiar sana, we're sinners kama wengine na madhaifu ndani ya mfumo na kwa mtu mmoja ni mengi kama kwingine tu.
Hata hivyo, sikubaliani na jitihada za kujisafisha kwa kupondea wengine, kama ipo namna hiyo ni kosa.
Kabisa kunakitu nilikuwa naongea na mtu namheshimu Tena namtegemea kwenye ushauri lkn point ya dini ilinifanya nimdharau sana alivotoa maneno makali aiseeKuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .📌🔨
ANDIKO?. LETE VERSE MOJA TU KUWA KUNAMUNGU MMOJA MWENYE NAFSI TATU.Kuna MUNGU MMOJA katika nafsi tatu BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU.
Kula kitimoto.Nitajie sheria moja katika uislamu inayokunyima raha ya maisha
Kule Zanzibar watu hawaruhusiwi kula hadharani mwezi mtukufu.Nitajie sheria moja katika uislamu inayokunyima raha ya maisha
Kule Usabatoni Papa ndio shetani mwenyeweWasabato mahubiri yao hayana mtizamo wa kumvuta mtu kwa mungu Bali kufundishana mbinu za kutukana na kukashifu makanisa mengine yasiyo ya kisabato huku wakijilinda na vifungu vichache vichache,jukumu la kwanza ukijiunga sabato ni kufundishwa namna ya kukashifu madhehebu mengine yasiyo ya kisabato hususani ukatoliki na papa,Tena papa kwa Imani ya kisabato ndiyo Raisi wa mashetani wote wa Dunia,wewe hata Kama ni muuaji Ila hauabudu kanisa katoliki,basi dhambi zako ni nyepeso kuliko asiye muuaji Ila anasali katoliki kwa kadri ya miiko na Imani ya kisabato
Soma Mathayo 28:18-20.ANDIKO?. LETE VERSE MOJA TU KUWA KUNAMUNGU MMOJA MWENYE NAFSI TATU.
Yesu alisema,"Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa ambalo hata milango ya kuzimu haitalifunga." Kwa hiyo Kanisa la kweli lipo lililoanzishwa na Yesu Kristo mwenyewe nafsi ya pili ya Mungu ambalo linaenzi mafundisho yake,"Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.(Mark 16:16)