Acha porojo.Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Hoja yako ni hafifu sana.Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Hawawezi kuanzisha vurugu kwani dini yeyote ya kikristo haina misingi ya vurugu. Kilichopo ni watu kwa hiyari yao kufanywa watumwa wa kutoa fedha kwa viongozi wa dini.Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Watu wameelimika nowKwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Ungeishi kwa shida sana kipindi cha Bwana yesuKwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Nitajie sheria moja katika uislamu inayokunyima raha ya maishaKwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
AiseeUngeishi kwa shida sana kipindi cha Bwana yesu
Maana alipinga makanisa yote ya wakati huo hadi wakamtimua kanisan
Wewe huna kitu tofauti na mafarisayo na masadukayk ambao hawakutaka kurekebishwa
Hawatafika huko kamwe, tungeshasikia hilo USA miaka ya 1800 Mwishoni na 1900 mwanzoni chini ya kina MillerKwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Tatizo la Wasabato, huwa wanatumia muda mwingi kupambana na wakatoliki kuliko kuhubiri kile wanachoamini. Bahati nzuri, wakatoliki wamejawa na hekima, huwa hawahangaiki na anayewabeza au mpotoshaji. Kama wakatoliki wangekuwa kama wasabato, yaani waanze kubishana nao, kungekuwa na uhasama mkubwa.Hoja yako ni hafifu sana.
Nitajaribu kukujibu hapa hapa.
Kila imani ina amini ndio iko sahihi zaidi kuliko imani nyingine, tofauti na hivyo imani hiyo haina sababu ya kuanzishwa kwake, kuendelea kuwepo au kutofautiana na imani nyingine.
Kama wasabato wanaamini imani yao ni sahihi zaidi basi wako sahihi kabisa kufanya hivyo na ndivyo imani zote zinafanya hivyo. Ukienda kwenye Ukatoliki, Ulutheri, Upentekoste hata imani ya Kihindu hali ni hiyo hiyo.
Tukija kwenye kulazimisha uamini imani fulani, hilo jambo haliwezikani milele. Imani ni suala la moyoni, tena binafsi sana, hakuna namna linaweza kulazimishwa kukaa moyoni mwa mtu. Hata Uislamu hauwezi kulazimishwa kuaminiwa, kinachoweza kulazimishwa ni unafiki wa kufanya vitendo fulani vya kuonyesha wewe unaabudu imani fulani, na hilo huweza kufanywa na tawala zenye mlengo wa kujificha kupitia imani hizo. Katika historia, zipo tawala ziliwahi kujificha kwenye ukatoliki na zikaishia kuulazimisha ukatoliki kuwa imani ya watu wote katika tawala zao. Hivyo hilo suala sio la kiimani bali itikadi za tawala za kisiasa.
Hakuna dhehebu wala dini iliyojaa watakatifu peķee. Dini zote na madhehebu yote, kuna wadhambi, hata kwa kipimo cha kibinadamu. Na hilo Kristo aliliona na aliwaambia aliowahubiria wakati huo akisema, "yaache magugu na ngano vikue pamoja. Wakati wa mavuno, ngano itawekwa ghalani, na magugu yatachomwa moto"Mimi labda nichangie kidogo kuna dhehebu moja ndani ya ukristo hujihisi wao ndio bora kuliko madhehebu yote wao wapo karibu na Muumba hawakosei wao ndio pekee walio umbwa kwa mfano wa Mungu yaani biblia ililetwa pekee kwa ajili yao,
Yaani wao ndio yale makabila kumi na mbili wao ndio wale wanafunzi wa yesu nafikiri hao ni hatari kuliko wasabato na waislamu wana matendo machafu kinyume cha maandiko!
Heeeeeee tenaKwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66 , wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha vikundi vya kulazimisha watu wawe wasabato .
Naona unapagawa, wahuni tutapanunua usijali.Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.