Baada ya Uislamu wanaofuata kwa kujiona wakamilifu ni Wasabato

siyo tuu dini hata binadamu wa kawaida huwa anajisikia anakubalika sana mbele za Mungu kumbe mweupe tuu.Dini ya ukweli ni kumpenda Mungu na wanadamu wenzako.
 
Njoo uingie makanisani kwetu ndio utajua kama sisi ni watakatifu au ni vipi.

Hata hivyo, ninapofanyia ibada sijasikia lolote kuhusu kujisifu wala kujiinua kuwa wasabato ni dhehebu peculiar sana, we're sinners kama wengine na madhaifu ndani ya mfumo na kwa mtu mmoja ni mengi kama kwingine tu.

Hata hivyo, sikubaliani na jitihada za kujisafisha kwa kupondea wengine, kama ipo namna hiyo ni kosa.
 
Hongera
 
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani .📌🔨
Kabisa kunakitu nilikuwa naongea na mtu namheshimu Tena namtegemea kwenye ushauri lkn point ya dini ilinifanya nimdharau sana alivotoa maneno makali aisee
 
Kule Usabatoni Papa ndio shetani mwenyewe
 


Kuna tofauti kati ya kanisa na dini MKUU



Ni kweli kanisa la KRISTO lipo na ni watu wanaomuabudu MUNGU katika roho na katika kweli hao Ndio kanisa/hekalu la MUNGU na Sio kanisa jengo Mkuu



MUNGU kupitia kwa mtumwa wake Paulo alisema haya maneno katika


1 wakolintho 6.19


"Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe"



mwili wenu hekalu la Roho Mtakatifu👉 Mimi na wewe na yeyote anaemuabudu MUNGU katika Roho na katika kweli ni mahali/nyumba/kanisa /hekalu la uwepo MUNGU i.e Roho mtakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…