The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Wanapiga nyungu tu...kwisha habari.Labda kwa mwanaume, je kwa dada zetu inakuaje kwao??
Thabo mbeki uyo zuma Hana akili hiyo
Mwanaume aliyetahiriwa habebi virus kirahisi labda aamue kufanyia sifa hadi achubuke
Pia sikumbuki niliwai soma wapi,ila ni ushauri kama jacob,sema ulikua na maelezo ya kutosha,ilizungumzia muandaane vya kutosha pia uwe na uwakika hauna vidonda wala michubuko,then mnaweza mkafanya sex ya taratibu,sio ile ya vita mpaka mnapata michubuko,then ukimaliza nenda maliwato osha na sabuni+maji safi,pia kojoa kama kuna vijidudu kwenye paipu vitatoka.Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni(usanitiise) vitu vyako ukae utulie.
Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa miaka ile akili yangu haikua imepanuka kiasi cha kuelewa fasihi kama hizo za Zuma.
Tunaambiwa virus wa corona tukiosha maji na sabuni au kemikali yenye pombe ndani tunaua virus wote, kwa nini isiwe kwa ukimwi?
Sasa ndio nimemuelewa Zuma.
Hayo aliyasema Zuma, Thabo Mbeki yeye alisema umaskini ni zaidi ya Ukimwi.Thabo mbeki uyo zuma Hana akili hiyo
Kwani hatuna Herdy immunity ya HIV?Kuanzia sasa anza kuosha na sabauni halafu baada ya miezi mitatu ukitaka kujiua kwa sababu yule dada wa pm kakusababishia matatizo usisahau kutuambia kuwa ushajiua.
wasingekua wanaambukizwa wengi.Mwanaume aliyetahiriwa habebi virus kirahisi labda aamue kufanyia sifa hadi achubuke
Alafu huyu Thabo Mbeki kama kumbukumbu zangu zipo vizuri mabeberu walimchomoa madarakani baada ya kuwaelimisha wananchi wake kwamba UKIMWI sio ugonjwa na watu waliacha kabisa kutumia dawa.Sio zuma ni Thabo Mbeki
Kwani Mbeki ndio alikuwa na kesi ya ubakaji?Sio zuma ni Thabo Mbeki