kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Ni Jackob Zuma.
Sio zuma ni Thabo Mbeki
Sio zuma ni Thabo Mbeki
Ni mbeki,mpaka akazui uingizaji wa ARVs south.Ni Jackob Zuma.
Mwanaume aliyetahiriwa habebi virus kirahisi labda aamue kufanyia sifa hadi achubuke
Nakumbusha tu.Kwani hatuna Herdy immunity ya HIV?
Sijui kama uliwahi kusikia kampeni ya tohara kwa wanaume ilijulikana kama kata mkono wa sweta, basi hiyo ndo the theory behind.wasingekua wanaambukizwa wengi.
Wengi ndiyo, ndo maana kukabunia kampeni ya tohara kwa wanaume. Hata hivyo muda wa tendo, magonjwa ya zinaa na usafi vinamchango mkubwa.Unataka kusema waathirika wengi wa UKIMWI ni GOVINDA?
Ni Zuma kuhusu kunawa,Mbeki alipingana na HIV kusababisha AIDSSio zuma ni Thabo Mbeki
Ni Zuma.Sio zuma ni Thabo Mbeki
...acha ubishi ni ZumoNi mbeki,mpaka akazui uingizaji wa ARVs south.
Wengi ndiyo, ndo maana kukabunia kampeni ya tohara kwa wanaume. Hata hivyo muda wa tendo, magonjwa ya zinaa na usafi vinamchango mkubwa.
nakumbuka ni Zuma lakini hakuwa anaelekeza dawa ya UKIMWI bali alipokuwa anajitetea katika kesi ile ya kubaka aijibu hivyo alivyoulizwa kama haogopi kupata maambukizo ya Ukimwi ndio akajibu kuwa alinawa na sabuni.Zuma, mmesahau alitoa mahakamani akikabiliwa kwa kesi ya kumwingilia mwanamke bila ridhaa yake?