Baada ya ujio wa Tundu Lissu, CHADEMA yatangaza kuvurumisha Mikutano ya hadhara Kanda ya Kusini

Lema kaishia wapi hivi? Au Geodarvie ameshamshusha kwenye ulimwengu wa siasa.?

Ogopa sana kupambana na mtu asiyekujibu kwa sauti ya kibinadamu.
Eti Nabii Mkuu , [emoji38][emoji38][emoji38] my fooot !!
 
..Nasubiri kusikia hoja za Cdm, na muitikio wa wananchi wa mikoa ya kusini.
 
FB_IMG_1681323866168.jpg
 
..naona Ccm wapo wapo tu.

..hoja yao kuu ni kumsifia Maza.

..matatizo ya wananchi hawana habari nayo.
 
Huko tayari tulishafanya
Mm, "HUKO" kuna airport 4 karibu karibu, Hospitali za Rufaa 5, vyuo vikuu 3, lami hadi migombani. Wa Kusini wana Mtwara Airport iliyojengwa na wakolonI 1952 kubeba karanga. Sasa CHADEMA wanataka kujitenga kwa Ukabila, nanyi mjenge shule zenu huku kodi zenu zilishawajengea kwao "HUKO".
 
Genge la saccos nacho chama? Ninyi ni CCM (B), na watanzania walishawapuuza muda mrefu. Chezeeni hela za ruzuku tu mlizopewa zawadi na waliowanunua.
CHADEMA wanafanya mikutano, watu wengi wanahudhuria, wanachama wapya wanajiunga, halafu mtu anasema eti watanzania wamewapuuza. Hivi hao wanaokiunga mkono hicho chama kiasi cha mpaka kuacha kazi zao na kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA, ni watu wa Taifa gani? Huyo anayesema Watanzania wamekipuuza, ni kipofu wa macho, ni kiziwi, ni kipofu wa akili au anautamani uwendawazimu? Kama ana akili timamu kwa nini asiseme kuwa yeye kwa sababu hii au ile, amekipuuza, kuliko kuyafanya mawazo yake kuwa ya Watanzania wote.

Hawa nadhani ndio wale ambao nadhani Mh. Rais anawaita, "stupid".

Kipuuze wewe, lakini wapo wanaokithamini, ndio hao wanakisiliza hicho chama. Sweeping statements zinaashiria huyo mtu ni mjinga.
 
Nimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!
Hapo Erythrocite ameileta taarifa bila weledi. Huwezi kumtaja mtu fulani kuwa eti ni kivutio. Ilitosha kusema, ni nani na nani watahudhuria.
 
Sioni ukanushaji wowote kwa hivyo ninadhani kwa urahisi kwamba, ni kile Kinachosemwa,... ni kivutio tu
 
Hapo Erythrocite ameileta taarifa bila weledi. Huwezi kumtaja mtu fulani kuwa eti ni kivutio. Ilitosha kusema, ni nani na nani watahudhuria.
Mkuu Usiingie kwenye mkenge wa hao wahuni
 
Nimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!
Endeleeni na Matusi yenu sisi hatuhangaiki na wajinga , tunasonga mbele
 
Si umesema kurudia ,anzieni kurudia huko kaskazini

USSR
Mbona post husika umeifuta haraka kuhusu Kilimanjaro na Arusha?
Mtafuta sana mwaka huu, Chadema mpango mzima!
 
Kwanini usiseme Sugu ndio kivutio?

Acha kumnyanyapaa Tundu Lisu wewe!
Lissu ni kivutio cha hoja na Spana , hatukuwahi kusema ni kivutio kwa ulemavu wake uliosababishwa na Mauaji yaliyopangwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli .

Msitake kuleta mashambulizi ya kijinga kwangu , hamtaweza , nafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa wanaccm mliopewa kazi ya kuniloga , lakini kwa nguvu ya Mungu mkashindwa , nawafahamu kwa majina yenu yote ya ubatizo , mkishindwa hoja nyamazeni , huwezi kushindana na aliyenyakuwa tuzo hapa JF na ukategemea kushinda .

Natoa onyo la mwisho kwako na masikini wenzio mnaotaka kudivert hii mada , Wajinga wakubwa nyie !
 
Huo ni mkwara Mbuzi tu

Hujamtendea haki Tundu Lisu kwa kumuita Kivutio!
 
Genge la saccos nacho chama? Ninyi ni CCM (B), na watanzania walishawapuuza muda mrefu. Chezeeni hela za ruzuku tu mlizopewa zawadi na waliowanunua.
Usiandike kama mpuuzi andika kama mtu aliyeenda shule bhana hapa siyo fb
 
Lissu ni kivutio cha hoja na Spana , hatukuwahi kusema ni kivutio kwa ulemavu wake uliosababishwa na Mauaji yaliyopangwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli .

Msitake kuleta mashambulizi ya kijinga kwangu , hamtaweza , nafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa wanaccm mliopewa kazi ya kuniloga , lakini kwa nguvu ya Mungu mkashindwa , nawafahamu kwa majina yenu yote ya ubatizo , mkishindwa hoja nyamazeni , huwezi kushindana na aliyenyakuwa tuzo hapa JF na ukategemea kushinda .

Natoa onyo la mwisho kwako na masikini wenzio mnaotaka kudivert hii mada , Wajinga wakubwa nyie !
Huyu John analipwa shilingi ngapi huko ccm? Kutwa kucha yupo jf kupindisha ukweli? Ungemtaja ingesaidia
 
Back
Top Bottom