Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Eti Nabii Mkuu , [emoji38][emoji38][emoji38] my fooot !!Lema kaishia wapi hivi? Au Geodarvie ameshamshusha kwenye ulimwengu wa siasa.?
Ogopa sana kupambana na mtu asiyekujibu kwa sauti ya kibinadamu.
Ama kweli hujafa hujaumbika walisema wahenga; tundu lisu mmemgeuza kuwa kivutio cha kwenye mikutano? Nilikuwa nafikiria kuhudhuria mkutano wa Newala vijijini sasa nimighairi somo!Kivutio kikubwa kwenye mikutano hiyo ni Uwepo wa Tundu Lissu ,
Nimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!Erythrocyte, Kuna nini huko CHADEMA mumfanye mwenzenu kana kivutio cha utalii?
Mm, "HUKO" kuna airport 4 karibu karibu, Hospitali za Rufaa 5, vyuo vikuu 3, lami hadi migombani. Wa Kusini wana Mtwara Airport iliyojengwa na wakolonI 1952 kubeba karanga. Sasa CHADEMA wanataka kujitenga kwa Ukabila, nanyi mjenge shule zenu huku kodi zenu zilishawajengea kwao "HUKO".Huko tayari tulishafanya
CHADEMA wanafanya mikutano, watu wengi wanahudhuria, wanachama wapya wanajiunga, halafu mtu anasema eti watanzania wamewapuuza. Hivi hao wanaokiunga mkono hicho chama kiasi cha mpaka kuacha kazi zao na kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA, ni watu wa Taifa gani? Huyo anayesema Watanzania wamekipuuza, ni kipofu wa macho, ni kiziwi, ni kipofu wa akili au anautamani uwendawazimu? Kama ana akili timamu kwa nini asiseme kuwa yeye kwa sababu hii au ile, amekipuuza, kuliko kuyafanya mawazo yake kuwa ya Watanzania wote.Genge la saccos nacho chama? Ninyi ni CCM (B), na watanzania walishawapuuza muda mrefu. Chezeeni hela za ruzuku tu mlizopewa zawadi na waliowanunua.
Hapo Erythrocite ameileta taarifa bila weledi. Huwezi kumtaja mtu fulani kuwa eti ni kivutio. Ilitosha kusema, ni nani na nani watahudhuria.Nimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!
Sioni ukanushaji wowote kwa hivyo ninadhani kwa urahisi kwamba, ni kile Kinachosemwa,... ni kivutio tuNimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!
Mkuu Usiingie kwenye mkenge wa hao wahuniHapo Erythrocite ameileta taarifa bila weledi. Huwezi kumtaja mtu fulani kuwa eti ni kivutio. Ilitosha kusema, ni nani na nani watahudhuria.
Endeleeni na Matusi yenu sisi hatuhangaiki na wajinga , tunasonga mbeleNimeiona hiyo na mimi haikukaa vizuri. Pamoja na kwamba lisu simpi credit nzuri kama mwanasiasa, lakini kumfanya kuwa kama kivutio (kikaragosi) cha kuvutia watu kuja kwenye mikutano siyo jambo jema hata kidogo!
Kwanini usiseme Sugu ndio kivutio?Mkuu Usiingie kwenye mkenge wa hao wahuni
Mbona post husika umeifuta haraka kuhusu Kilimanjaro na Arusha?Si umesema kurudia ,anzieni kurudia huko kaskazini
USSR
Naona huyo naye GENTAMYCINE kafuta huo upoloto wake alioandika ukamjibu. Nakuambia upuuzi wao wataandika na kufuta sana!Achana na Chadema wewe endelea na ccm yako ili uteuliwe kama wachumia tumbo wenzako
Lissu ni kivutio cha hoja na Spana , hatukuwahi kusema ni kivutio kwa ulemavu wake uliosababishwa na Mauaji yaliyopangwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli .Kwanini usiseme Sugu ndio kivutio?
Acha kumnyanyapaa Tundu Lisu wewe!
Huo ni mkwara Mbuzi tuLissu ni kivutio cha hoja na Spana , hatukuwahi kusema ni kivutio kwa ulemavu wake uliosababishwa na Mauaji yaliyopangwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli .
Msitake kuleta mashambulizi ya kijinga kwangu , hamtaweza , nafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa wanaccm mliopewa kazi ya kuniloga , lakini kwa nguvu ya Mungu mkashindwa , nawafahamu kwa majina yenu yote ya ubatizo , mkishindwa hoja nyamazeni , huwezi kushindana na aliyenyakuwa tuzo hapa JF na ukategemea kushinda .
Natoa onyo la mwisho kwako na masikini wenzio mnaotaka kudivert hii mada , Wajinga wakubwa nyie !
Usiandike kama mpuuzi andika kama mtu aliyeenda shule bhana hapa siyo fbGenge la saccos nacho chama? Ninyi ni CCM (B), na watanzania walishawapuuza muda mrefu. Chezeeni hela za ruzuku tu mlizopewa zawadi na waliowanunua.
Huyu John analipwa shilingi ngapi huko ccm? Kutwa kucha yupo jf kupindisha ukweli? Ungemtaja ingesaidiaLissu ni kivutio cha hoja na Spana , hatukuwahi kusema ni kivutio kwa ulemavu wake uliosababishwa na Mauaji yaliyopangwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli .
Msitake kuleta mashambulizi ya kijinga kwangu , hamtaweza , nafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa wanaccm mliopewa kazi ya kuniloga , lakini kwa nguvu ya Mungu mkashindwa , nawafahamu kwa majina yenu yote ya ubatizo , mkishindwa hoja nyamazeni , huwezi kushindana na aliyenyakuwa tuzo hapa JF na ukategemea kushinda .
Natoa onyo la mwisho kwako na masikini wenzio mnaotaka kudivert hii mada , Wajinga wakubwa nyie !