Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Mi singejali sana. Ingenipa motivation ya kuzidi kupiga Kazi.

Wanisuse tu, mi ningekausha.

Ila nikifika juu sasa wabalance shobo vile vile, tusijuane sana.
Me nashangaa Mbn young lunya hajasupportiwa na domo kihivy lakn now yupo matawi ya juu. Rapcha ni kisanga yaan anajua kwlkwl cha msingi akomae tu
 
Unatia huruma! Umeacha kujikita kwenye hoja, unajikita kwenye typing error baada ya kuona ulichoandika ni ujinga! Pambaneni, acheni kulia lia!
Sio thinking error? 😂😂 sema kanywe maji mkuu upoze kichwa, hii mijadala sio ya kutilia akili nyingi sana kama kutatua equations, just relax ,
 
View attachment 1815677

View attachment 1815680

Ila bado una point mkuu, angewacheki na wasanii wengine.

Diamond n msanii mkubwa nakubali...
Leo hi mnamsema sana platnumz kua hapost ngoma za watu
Je nani mwingine ambae hua anapost kaz za diamond akitoa?
Je diamond hapigwi na media ngapi bongo?
Na nan ambae nyimbo zake hazipigwi wasafi?
Ifike wakati kila mtu akomae kutafuta maisha...usipende kuonewa huruma.
Huruma hufanya mtu kua mtumwa wa fikra....
Rapcha ni msanii mzuri...mwenyewe nnamsikiliza
Lakini haina ikweli kua ni mzuri kuliko wote waliopita
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi? [emoji3]
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
Inaonekana Diamond ndo mwenye Music ,kuna hawa kila sku kumponda ili wapate airtime, huyu atasema hvi ,nachoshukru management yake wamekuwa smart Sana kijana anayakabili vyema ....
 
Inaonekana Diamond ndo mwenye Music ,kuna hawa kila sku kumponda ili wapate airtime, huyu atasema hvi ,nachoshukru management yake wamekuwa smart Sana kijana anayakabili vyema ....

Nkimuangalia h baba hua nacheka sana
Yan mwamba kakazania kabisa waz waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nkimuangalia h baba hua nacheka sana
Yan mwamba kakazania kabisa waz waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
H-Baba kaanza mziki na akajulikana kabla ya Diamond , ni aibu Leo kuwa chawa wa mwanafunzi wa Diamond.... Yani unakuwa official third party....!!! Mwijaku ndo usiseme kabisa hata kama bifu ndo zinakuza mziki Ila ni kama wamechochora
 
alieambiwa apost ni Diamond we unaleta ishu za wasafi, ni kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi, ama umeombwa kwenda kumuombea mtu flani sapoti wewe unatuma watu wengine, angetaka wasafi wapost sidhani kama kungekuwa na haja ya kupost huo ujumbe uliomhusu Diamond moja kwa moja

sema tuachane na ivo, ila huenda majani angemcheki tu inbox Diamond,
Mkuu diamond ni brand na ni icon , kuna mambo mengi ya msingi hata yeye anatamani apost, Kwa sasa accnt yake haiendeshwi na kile anachofikr yeye tuu, kuna vitu vingi vina nguvu kwenye accnt yake .....!! Kwa vile media ni talk of the town mengine yanapitia Tu huko inakuwa imetosha.....
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi? [emoji3]
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...

mkuu sio ujinga ndio game inavyokwenda , mtu anatoa nyimbo alafu anaenda kuomba kupiga picha na drake na anamwomba drake aipost ili algorithm za nyimbo alotoa zipile-up...
 
Back
Top Bottom