Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Ajabu zaidi, ngoma ya Rapcha inaonekana imepostiwa July 7, na ile ya akina Mbosso ni July 9! Sasa hayo unayooita "hakiupita masaa mengi", ulitaka yapite masaa mangapi?
mkuu viroba si vilishapigwa marufuku?? hio July ya wapi tena aisee
 
Mi singejali sana. Ingenipa motivation ya kuzidi kupiga Kazi.

Wanisuse tu, mi ningekausha.


Ila nikifika juu sasa wabalance shobo vile vile, tusijuane sana.
Me nashangaa Mbn young lunya hajasupportiwa na domo kihivy lakn now yupo matawi ya juu. Rapcha ni kisanga yaan anajua kwlkwl cha msingi akomae tu
 
Unatia huruma! Umeacha kujikita kwenye hoja, unajikita kwenye typing error baada ya kuona ulichoandika ni ujinga! Pambaneni, acheni kulia lia!
Sio thinking error? πŸ˜‚πŸ˜‚ sema kanywe maji mkuu upoze kichwa, hii mijadala sio ya kutilia akili nyingi sana kama kutatua equations, just relax ,
 
View attachment 1815677

View attachment 1815680

Ila bado una point mkuu, angewacheki na wasanii wengine.

Diamond n msanii mkubwa nakubali...
Leo hi mnamsema sana platnumz kua hapost ngoma za watu
Je nani mwingine ambae hua anapost kaz za diamond akitoa?
Je diamond hapigwi na media ngapi bongo?
Na nan ambae nyimbo zake hazipigwi wasafi?
Ifike wakati kila mtu akomae kutafuta maisha...usipende kuonewa huruma.
Huruma hufanya mtu kua mtumwa wa fikra....
Rapcha ni msanii mzuri...mwenyewe nnamsikiliza
Lakini haina ikweli kua ni mzuri kuliko wote waliopita
 
Inaonekana Diamond ndo mwenye Music ,kuna hawa kila sku kumponda ili wapate airtime, huyu atasema hvi ,nachoshukru management yake wamekuwa smart Sana kijana anayakabili vyema ....
 
Inaonekana Diamond ndo mwenye Music ,kuna hawa kila sku kumponda ili wapate airtime, huyu atasema hvi ,nachoshukru management yake wamekuwa smart Sana kijana anayakabili vyema ....

Nkimuangalia h baba hua nacheka sana
Yan mwamba kakazania kabisa waz waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nkimuangalia h baba hua nacheka sana
Yan mwamba kakazania kabisa waz waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
H-Baba kaanza mziki na akajulikana kabla ya Diamond , ni aibu Leo kuwa chawa wa mwanafunzi wa Diamond.... Yani unakuwa official third party....!!! Mwijaku ndo usiseme kabisa hata kama bifu ndo zinakuza mziki Ila ni kama wamechochora
 
Mkuu diamond ni brand na ni icon , kuna mambo mengi ya msingi hata yeye anatamani apost, Kwa sasa accnt yake haiendeshwi na kile anachofikr yeye tuu, kuna vitu vingi vina nguvu kwenye accnt yake .....!! Kwa vile media ni talk of the town mengine yanapitia Tu huko inakuwa imetosha.....
 

mkuu sio ujinga ndio game inavyokwenda , mtu anatoa nyimbo alafu anaenda kuomba kupiga picha na drake na anamwomba drake aipost ili algorithm za nyimbo alotoa zipile-up...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…