Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Majani is really a fatuous person. Tell him to stop forcing things to happen. If Raptcha was born to be a king of hip hop, nothing will preclude his success.
 
Majani kamtaka aposti au shabiki ndio kataka apostiwe majani kafanya kama daraja tu la kupitishia maoni ya shabiki
 
H-Baba kaanza mziki na akajulikana kabla ya Diamond , ni aibu Leo kuwa chawa wa mwanafunzi wa Diamond.... Yani unakuwa official third party....!!! Mwijaku ndo usiseme kabisa hata kama bifu ndo zinakuza mziki Ila ni kama wamechochora
Na baba levo muongezee hapo
 
Mimi nisingejali sana. Ingenipa motivation ya kuzidi kupiga Kazi.

Wanisuse tu, mimi ningekausha.


Ila nikifika juu sasa wabalance shobo vile vile, tusijuane sana.
Hakika kabisaaaah.
 
Nyimbo kali na imesimama mule mule, kajua kuwakalisha kubdi fulani la taarabu na qaswida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…