Mpaka sasa Kiev haijasema madhara yaliyotokea wamebaki na kigugumiziRussia katumia Makombora kama ya Iranian Kiv imechomwa pale Israel ilikuwa wanazuiya MEDIA zisiende mpaka wazime Moto kwaza π₯π₯π₯π₯π₯
Huu ni mwaka wa tano umeanza kama hujui.Russia mpaka sasa hajanishawishi, sema umarufu unamlinda
Miaka 3 na ka nchi kadooogo kama Tz na uwezo unaomezwa mara 200 zaidi na Russia?
Huo ni ukweli mchungu aiseeRussia inapigana na US na Europe kwa kutumia Ukraine.