Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Hizi akili za kipambavu na wanaowwza kukuelewa wewe ni wpumbavu Kama wewe!!, Hao tff walipokea mkataba feki😂, akili za kijinga Kama hizi umazipaka kwa huyu zuzu
 
Kinachojadiliwa ni uhalali wa mkataba wa miaka miwili ,sio wa miezi sita.
Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?
 
Kinachojadiliwa ni uhalali wa mkataba wa miaka miwili ,sio wa miezi sita.
Kama TFF watasema saini ilifojiwa, nasubiria kwa hamu kusikia nini kilimsukuma BM kwenda kwa Luc na baadae kwa Ingia kuomba kuvunja mkataba?
 
TEH!TEH!TEH!boss unataka CEO awe shabiki wa klabu?!? kwa maana nyingine unataka CEO wa CRDB Bank awe ni mwenye akaunti CRDB bank. mmh!! soka la TZ
 
Kama ulikua hujui kwanini soka la bongo linachelewa kuendelea, hii comment itakua imekufumbua.

Maslahi lazima yawe mbele, we unadhani hiyo timu ni ya baba yake
 
Bangi tu ndo zinakusumbua
 
Bangi tu ndo zinakusumbua

Na 'nazivuta' kweli kweli ndiyo maana unaona hata uwezo wangu wa 'Kufikiri' na 'Akili' unazidi wa 'Koo' zako zote mbili za kwa Mama na Baba yako.
 
Kiaje mkuu.
Kesi nani ameshinda?

Ukitaka kujua nani ni 'Mshindi' nakuomba sana iangalie tu 'body language' ya Mchezaji husika Bernard Morrison tokea 'ajiunge' rasmi na Simba SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…