Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 980
Hizi akili za kipambavu na wanaowwza kukuelewa wewe ni wpumbavu Kama wewe!!, Hao tff walipokea mkataba feki😂, akili za kijinga Kama hizi umazipaka kwa huyu zuzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?Kinachojadiliwa ni uhalali wa mkataba wa miaka miwili ,sio wa miezi sita.
Kama TFF watasema saini ilifojiwa, nasubiria kwa hamu kusikia nini kilimsukuma BM kwenda kwa Luc na baadae kwa Ingia kuomba kuvunja mkataba?Kinachojadiliwa ni uhalali wa mkataba wa miaka miwili ,sio wa miezi sita.
TEH!TEH!TEH!boss unataka CEO awe shabiki wa klabu?!? kwa maana nyingine unataka CEO wa CRDB Bank awe ni mwenye akaunti CRDB bank. mmh!! soka la TZHaaf Viongoz Wa Simba Waache Kutuletea Watendaji Kutoka Nje, Coz Hawa Wanaangalia Masrah Tu Hawana Mapenzi Na Timu, Hivi Unafikiri Kama Ceo Wa Simba Angekua Labda Mwina Kaduguda Ama Try Again Hatakama Angejiuzulu Asingehamia Yanga, Maana Anajulikana Ni Simba Damu.
Kama ulikua hujui kwanini soka la bongo linachelewa kuendelea, hii comment itakua imekufumbua.Haaf Viongoz Wa Simba Waache Kutuletea Watendaji Kutoka Nje, Coz Hawa Wanaangalia Masrah Tu Hawana Mapenzi Na Timu, Hivi Unafikiri Kama Ceo Wa Simba Angekua Labda Mwina Kaduguda Ama Try Again Hatakama Angejiuzulu Asingehamia Yanga, Maana Anajulikana Ni Simba Damu.
Tatizo ni hii inshu imewakalia vibaya hadi TFFHakuna Simba bila yanga, na hakuna Yanga bila Simba.
Ukimuua Yanga, umemuua Simba, na kinyume chake ndiyo ukweli.
Labda kama kuna kosa, litaishia kwenye Faini peke yake
Bangi tu ndo zinakusumbuaTaarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani kutolewa kwa Watanzania ili 'Wahuni' na 'Matapeli' wa Soka la Tanzania wajulikane na waumbuke rasmi.
Chanzo changu hicho Kimeendelea kusema kwamba sehemu ambayo Yanga SC 'imejikoroga' ni katika Tarehe ya Mkataba wa Mchezaji Bernard Morrison ambapo Yanga SC 'wamedanganya' Umma kuwa 'alisajiliwa' tarehe 15 na Kuuwasilisha TFF wakati Mchezaji aliwasili nchini tarehe 17 na hata Mawasiliano yake ya Email yana Ukweli wote pamoja na Tiketi yake ya Ndege.
Hivyo basi 'Adhabu' ambayo huenda Yanga SC 'ikakumbana' nayo katika 'Hukumu' inayoenda 'Kutolewa' leo ni ama 'Kunyang'anywa' Alama ( Points ), Kupigwa Faini Kubwa, Kuzuiwa Kufanya Usajili, Kushushwa Daraja, Viongozi wake Kukamatwa, Kushtakiwa na Kufungiwa kabisa. Na kama TFF wakisema walipeleke hili 'Suala' huko FIFA kuna uwezekano Klabu ya Yanga 'ikafutwa' katika ramani.
Chanzo hicho kimemalizia kwa kunielezea kuwa kumbe baada ya Uongozi wa Yanga SC hasa kupitia 'Wadhamini' wao GSM kuona kwamba wanaenda 'Kuumbuka' walienda Kutoa 'Rushwa' ya Tsh Milioni 20 TFF ili hili 'Suala' lisiende mbali lakini Uongozi Imara na wenye 'Uweledi' wa TFF ukakataa huo 'Upuuzi' na kuwaambia Yanga SC hili 'Suala' lazima lifike mwisho ili liwe Fundisho nchini.
Baada ya Yanga SC na GSM kujua kuwa 'wameshalikoroga' na Mashabiki wao hawatawaelewa wameamua 'Kuwahadaa' kwa Kufanya 'Usajili' wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mbatha Mazingisa huku 'wakiwadanganya' kuwa 'wanamsajili' Mchezaji Clatous Chama na akina Deo Kanda. Hii yote Yanga SC wanafanya kama kutafuta 'Huruma' kwa Mashabiki na Wanachama Wao.
Namalizia kwa kusema 'sijakulazimisha' ukubaliane na nilichokiwasilisha hapa ila Yanga SC jana walifurahi lakini leo watalia sana na Moto utawaka.
Utabiri wa mleta mada umeenda sivyo.tayari huko Yanga hali mbaya
Kiaje mkuu.tayari huko Yanga hali mbaya
Boya wewe unajifanyaga Mnyarwanda kumbe bure kabisa!
Ww akili yako haiko sawaaaa
Bangi tu ndo zinakusumbua
Utabiri wa mleta mada umeenda sivyo.
Fafanua mkuu tueleweUtopolo chalii kifo cha mende
Kiaje mkuu.
Kesi nani ameshinda?
Fafanua mkuu tuelewe