Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Itunze hii potosho yako. Bado tunakamilisha ya muhimu
 
Unajua hata maana ya mkataba? Unajua hata kitendo cha kujiandaa kutoka ghana kinaweza kua ushahidi wa makubaliano, au wewe una deal tu na makaratasi...

Hapana Mimi huwa 'ninadili' tu na 'Upopoma' wako wa muda mrefu japo kwa sasa naanza Kuchoka hivyo nitakuacha uendelee nao hadi Kifo chako.
 
Ka Genta kameendelea kuwadanganya mbumbumbu, Mikia, Mnyero United!
 
Angalia usije kukakataa na kukaona kazushi tu!

Kwani ikiwa ni 'Uzushi' Mimi katika Historia ya 'Wazushi' duniani nitakuwa Kinara? Sasa kama unajua ni 'Uzushi' kwanini bado tu Unauchangia Uzi?
 
Sherehe za kuwanyoa mikia, mtaomba poo safari hii. Njooni mtupe hela tuwaachie kimeo icho sio bure
 

Attachments

  • maneno_nyagaly_20200810_144935_0.mp4
    7.7 MB
Hata mm namshangaa maana anabishana na chizi

Na huu 'Uchizi' wangu 'nimeurithi' kwa aliyekubebea Mimba yako na Kukuzaa baada ya 'Kukuvumilia' tu kwa Miezi Kenda 'Tumboni' mwake Kijijini.
 
Kumekucha
Yanga
Lazima Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe!!!
 
Nenda kwa mo mwambie akuongezee posho uzushe jingine hilo limekwisha

Limekwisha tunakuomba uiweke hapa tafadhali. Kama Waandishi wa Habari hawana Habari 'Mpumbavu Mwandamizi' Wewe ndiyo utakuwa nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…