GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #101
Pole sana
Ulichokitaka hakitokei π π π
Endelea kusubiri mpumbavu wewe
Fitna zilianzia Yanga,na leo tena mnalala na viatuSawa Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ndani ya Shirikisho la Soka nchini TFF Frank Wanjiru kwa kuja Kwetu na hii 'Just In' yako juu ya Sakata.
Mwanaume kuwa mzushi ni aibu Sana. Najua bila uzushi huwezi kuishi mjini, tunga jingine ukapige hela za mpumbavu mvalishwa kanga
Fitna zilianzia Yanga,na leo tena mnalala na viatu
...dah!..naona umeamua kututukana...haya bhanaMashabiki wa Simba na yanga wengi ni mental victims.
Yanga washaumbuka.
Mficha ficha maradhi.
Zenzo karuka majivu kakanyaga moto.
Hehe ....
Kweli Yanga kiboko.., wanaweza kufungua dirisha la usajili na kuingiza mchezaji hata baada ya dirisha kufungwa!!!!!!Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?
Labda Biko au Tatu mzuka.
Labda Biko au Tatu mzuka.
Hadi sasa tunaongoza 5 - 1
Nani atam release?Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?
Mmeshinda njaa