Matumizi ya "hu" ni janga sana ulivyoandiaka "huache" nilijua ni bahati mbaya ila ulivyotililika ndio nikajua ni ulemavu tu wakujitakiaaende zake uyo snitch wako, amekalia kujipendekeza tu kuusaka ukuu wa wilaya, watakupa tu hicho cheo ila huache kujipendekeza ata ukawaCOST wengine, au uliumia mwenzio kuupiga mpunga through magazeti ya wazungu, hacha hizo watu kama nyie wakati nasoma tuliwaita mandata pia wanafiki
Mkuu unaweza lipwa hela mingi ili uweze ku access baadhi ya sensitive info kama vike za ufisadi. So as a journalist u need to lobby some officials ku release hizo taarifa.Tu
Hizo pesa nyingi toka nje ya nchi alikuwa na biashara gani na hizo kampuni. Kama siyo kuuza uhuru wa nchi, kwa journalist wa kawaida kuingiliwa dolla laki nne, dolla laki mbili, elfu 50,laki moja kwa biashara hipi na kampuni hizo za nje. Na inaonekana alifanya kipindi hicho nchi haikuwa na mwenyewe.
Whatever.......Hapo ndio unamfanya Pascal Mayalla aendelee kuwa bora zaidi na zaidi. Ili ukubalike sehemu yoyote, lazima wengine wakupende na wengine wakuchukie. Ndio unakuwa mkamilifu. Na uchangiaji wako unamfanya wasiomjua waanze kumjua vizuri. Nao wanaibuka wa kumpenda na wa kumchukia. Yeye tayari ana jina. Tengeneza la kwako tena uwe "verified user" kama yeye.
Inawezekana kabisa hii ikawa sababu. Tumezoea kujibu kiurahisi maswali magumu na ya msingi. Wasiojulikana walikuwa busy na kuteka na kuua wapinzani, hayo yakiendelea huko unnoticed or unheeded. Tabia zetu za kipumbavu! Zile makala P. alikuwa anazisapoti kiaina. Na kuna uwezekano mkubwa pia hajaziandika EK! Angeshtakiwa kwa hilo na kesi kusikilizwa mahakamani tungejua ukweli. Lakini iko siku tutajua tu!Haina shida hata Kama Makala zako ndo ziliwafanya jamaa wasiojulikana kufuatilia maana lengo lako halikuwa kumuumiza mtu yeyote
Maadam mimi, nimeisha samehe, kwa maana hujui utendalo, huna haja ya kuomba radhi, na hata Mungu amekusamehe.mimi skuombi radhi kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hakukuwa na haja ya kurudi na UziMaadam mimi, nimeisha samehe, kwa maana hujui utendalo, huna haja ya kuomba radhi, na hata Mungu amekusamehe.
Ubarikiwe sana!.
P
Kwani hapo hamna judicial precedence? Maana ukikiri kosa inatoka hukumu ya mahakama. Ambayo lazima itekelezwe. DPP kazi yake ni kusimamia makubaliano tu(Any way mahakama ya hakimu mkazi sio court of records)Ukweli uliothibitishwa ni kukiri makosa ya ML & Tax Evation.
kama ukweli ni kwamba amenunua uhuru wake kwa manufaa yake binafsi basi amewanyima watanzania fursa ya "Judicial Precedence" ama "hukumu elekezi" kwa watakao mbabikizwa kesi za ML. Kwa kifupi hoja ya kununua uhuru inamchafua haimjengi
Msaada wa wazungu kwa namna gani fafanua! Ndio wamemlipia?Zaidi ya kuendelea kumhujumu Kabendera ndani ya uzi wako huu hakuna jipya , ni upi ukweli uliodhihirika ? mbona Kabendera hajalipa chochote na kaachiwa kwa msaada wa Wazungu !
Kwani alipokiri kosa hakuhukumiwa? Sheria inasema unakiri kosa kwa makubaliano na DPP alafu unahukumiwa kama kawaida.Ila judicial precedent mahakama ya hakimu mkazi? (Labda kwa courts of high records)Ukweli uliothibitishwa ni kukiri makosa ya ML & Tax Evation.
kama ukweli ni kwamba amenunua uhuru wake kwa manufaa yake binafsi basi amewanyima watanzania fursa ya "Judicial Precedence" ama "hukumu elekezi" kwa watakao mbabikizwa kesi za ML. Kwa kifupi hoja ya kununua uhuru inamchafua haimjengi
Facts za hizi kesi mbili zinafanana? Namna walivyobambikiwa kesi ni sambaba?Petro mtu huwezi kukiri makosa usiyoyafanya alafu ukubali kulipa mamilioni ya pesa acheni kudanganya umma. Kama kweli kaonewa basi wakili wake ni mzigo. Nikujulishe mimi nimesoma agreement yake. Mtani ukiisoma hasa page ya pili utabadilisha mawazo.
Nilikua namuonea huruma lakini sasa nikisikia karudishwa jela nitafurahi sana. Jamaa ni mav* kabisa. Subirini mtaona mengi huyoo kakubali kuwa snitch. Sababu hii doc ni nyeti ningeianika hadharani kusingetokea yeyote ws kumuonea huruma. Wote mnajiita rafiki zake subirini tu kugongewa hodi na mapolisi kama mlishirikiana naye katika maongezi yeyote
NAWAOMBEENI PITIENI KESI YA KUBAMBIKWA YA ISAACK WRIGHT JR aliyepewa hukumu ya kwenda jela maisha kwakesi ya kubambikiwa na serikali na kukaa jela miaka 7. Akiwa jela akasomea sheria na kujiwakilisha mwenyewe. Katika rufaa serikali ilikubali atoke baada ya hiyo miaka na yeye afute kesi. Jamaa alikataa na kusema bora afie jela kuliko kukubali makosa ambayo hakuyatenda. Mwishoni akashinda kesi na kufutiwa criminal record.
Petro wewe mwsnasheria tatizo lenu mnafanya biashara zaidi ya kusaidia watu baadhi yenu
[/URL]
HUYO JAMAA NJAA NA UMASKINI NDIO VINA MSUMBUA. AME LAMBA VIATU VYA JIWE HAJA PATA UTEUZI HATA WA UJUMBE WA NYUMBA 10 .Pascal, wewe ndie ulienifanya mimi nikajiunga JF na nlikuwa nakuheshimu sana. Ila natangaza tena kama nlivyowahi kutangaza hapo kabla, sikuheshimu kamwe na nlidhani kweli wewe ni mtu Bora ila hufai kutokana na mengi uliyoyaandika humu.
Kama Kabendera ni innocent, Judicial precedence ambayo amewanyima watanzania ni hukumu ya kuwachilia huru walio wekelewa kesi bandia za ML bila mafaini yale ama kushinizwa ukiri makosa.Kwani alipokiri kosa hakuhukumiwa? Sheria inasema unakiri kosa kwa makubaliano na DPP alafu unahukumiwa kama kawaida.Ila judicial precedent mahakama ya hakimu mkazi? (Labda kwa courts of high records)
Sijakuelewa. Au maana judicial precedence ni tatizo? Kwa ufupi judicial precedence ni hukumu ya mahakama yenye mamlaka ya juu ambayo inaweza kuwa binding au persuasive. Hapa nazungumzia HC au CA. Hao unaowasema walihukumiwa na mahakama gani?Kama Kabendera ni innocent, Judicial precedence ambayo amewanyima watanzania ni hukumu ya kuwachilia huru walio wekelewa kesi bandia za ML bila mafaini yale ama kushinizwa ukiri makosa.
Hukumu elekezi kama hiyo ingewalinda wananchi kutokana na utawala wa visasi unaotumia ML kama chombo cha kutisha na kunyang'anya