Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

aende zake uyo snitch wako, amekalia kujipendekeza tu kuusaka ukuu wa wilaya, watakupa tu hicho cheo ila huache kujipendekeza ata ukawaCOST wengine, au uliumia mwenzio kuupiga mpunga through magazeti ya wazungu, hacha hizo watu kama nyie wakati nasoma tuliwaita mandata pia wanafiki
Matumizi ya "hu" ni janga sana ulivyoandiaka "huache" nilijua ni bahati mbaya ila ulivyotililika ndio nikajua ni ulemavu tu wakujitakia
 
Mbase1970,
Hizo pesa nyingi toka nje ya nchi alikuwa na biashara gani na hizo kampuni. Kama siyo kuuza uhuru wa nchi, kwa journalist wa kawaida kuingiliwa dolla laki nne, dolla laki mbili, elfu 50,laki moja kwa biashara hipi na kampuni hizo za nje. Na inaonekana alifanya kipindi hicho nchi haikuwa na mwenyewe.
 
Nyie watu mna roho ngumu yaani nahisi Paskali kila akiuchungulia uzi wake anakutana na viwembe tu yaani yy alikuja kutafuta sympathy ila mlichompa mmmhh!!!.

Nimewapenda sana wachangiaji mmekuwa sio wanafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tu
Hizo pesa nyingi toka nje ya nchi alikuwa na biashara gani na hizo kampuni. Kama siyo kuuza uhuru wa nchi, kwa journalist wa kawaida kuingiliwa dolla laki nne, dolla laki mbili, elfu 50,laki moja kwa biashara hipi na kampuni hizo za nje. Na inaonekana alifanya kipindi hicho nchi haikuwa na mwenyewe.
Mkuu unaweza lipwa hela mingi ili uweze ku access baadhi ya sensitive info kama vike za ufisadi. So as a journalist u need to lobby some officials ku release hizo taarifa.

Habar hazitoki tu, nani akupe mipango ya wizi wa fedha kama zile za epa,ama mikataba feki.

Hao mabeberu kwani kipi wanachoficha zaidi ya kukiweka wazi taifa na dunia lione baadhi ya viongozi wezi wa mali za umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazunguwawili,
Kuna scenario number two, kabendera either aitumika na watu wa nje kupitishia pesa ziende upande wa pili wa upinzani, maana siku hizi siyo zamani walikuwa wanatuma direct Kw hao jamaa, sasa hivi inabidi watumiye mawakala kama akina kabendera kupitishia uko ndiyo zije upande mwingine, maana walipiga sana kelele kuaminisha umma na dunia kwamba kabendera kaonewa, freedom of speech, na kweli walijitahidi sana kuaminisha watu, lakini baada ya ukweli kujulikana sasa hivi kimya, watu hawatowi povu, hata nchi matajiri kama marekani ukiingiziwa hata $10,000 tu kwenye account lazima kuwa na Maelezo yaliyoshiba la sivyo federal government wanachukuwa. Sembuse uku mtu anawekewa $500,000 bila Maelezo yeyote, hakuna biashara wala nini, hiyo inaleta maswali mengi sana.

Kabendera pamoja na elimu yake ya journalist bado masuala ya pesa yanampiga chenga, ndo maana amekamatwa kama kuku, pamoja na kufungua account nyingi kwa kampuni zake, jina lake bado haisaidii, inatakiwa uwe smart kama unataka kuwa mgongo wa kupitishia pesa za watu wengine, maana sasa zigo lote ametwishwa yeye, akina upinzani wako wanakunywa chai na kicheko tu.
 
Hapo ndio unamfanya Pascal Mayalla aendelee kuwa bora zaidi na zaidi. Ili ukubalike sehemu yoyote, lazima wengine wakupende na wengine wakuchukie. Ndio unakuwa mkamilifu. Na uchangiaji wako unamfanya wasiomjua waanze kumjua vizuri. Nao wanaibuka wa kumpenda na wa kumchukia. Yeye tayari ana jina. Tengeneza la kwako tena uwe "verified user" kama yeye.
Whatever.......
 
Haina shida hata Kama Makala zako ndo ziliwafanya jamaa wasiojulikana kufuatilia maana lengo lako halikuwa kumuumiza mtu yeyote
Inawezekana kabisa hii ikawa sababu. Tumezoea kujibu kiurahisi maswali magumu na ya msingi. Wasiojulikana walikuwa busy na kuteka na kuua wapinzani, hayo yakiendelea huko unnoticed or unheeded. Tabia zetu za kipumbavu! Zile makala P. alikuwa anazisapoti kiaina. Na kuna uwezekano mkubwa pia hajaziandika EK! Angeshtakiwa kwa hilo na kesi kusikilizwa mahakamani tungejua ukweli. Lakini iko siku tutajua tu!
 
Ukweli uliothibitishwa ni kukiri makosa ya ML & Tax Evation.
kama ukweli ni kwamba amenunua uhuru wake kwa manufaa yake binafsi basi amewanyima watanzania fursa ya "Judicial Precedence" ama "hukumu elekezi" kwa watakao mbabikizwa kesi za ML. Kwa kifupi hoja ya kununua uhuru inamchafua haimjengi
Kwani hapo hamna judicial precedence? Maana ukikiri kosa inatoka hukumu ya mahakama. Ambayo lazima itekelezwe. DPP kazi yake ni kusimamia makubaliano tu(Any way mahakama ya hakimu mkazi sio court of records)
 
Ukweli uliothibitishwa ni kukiri makosa ya ML & Tax Evation.
kama ukweli ni kwamba amenunua uhuru wake kwa manufaa yake binafsi basi amewanyima watanzania fursa ya "Judicial Precedence" ama "hukumu elekezi" kwa watakao mbabikizwa kesi za ML. Kwa kifupi hoja ya kununua uhuru inamchafua haimjengi
Kwani alipokiri kosa hakuhukumiwa? Sheria inasema unakiri kosa kwa makubaliano na DPP alafu unahukumiwa kama kawaida.Ila judicial precedent mahakama ya hakimu mkazi? (Labda kwa courts of high records)
 
Petro mtu huwezi kukiri makosa usiyoyafanya alafu ukubali kulipa mamilioni ya pesa acheni kudanganya umma. Kama kweli kaonewa basi wakili wake ni mzigo. Nikujulishe mimi nimesoma agreement yake. Mtani ukiisoma hasa page ya pili utabadilisha mawazo.

Nilikua namuonea huruma lakini sasa nikisikia karudishwa jela nitafurahi sana. Jamaa ni mav* kabisa. Subirini mtaona mengi huyoo kakubali kuwa snitch. Sababu hii doc ni nyeti ningeianika hadharani kusingetokea yeyote ws kumuonea huruma. Wote mnajiita rafiki zake subirini tu kugongewa hodi na mapolisi kama mlishirikiana naye katika maongezi yeyote

NAWAOMBEENI PITIENI KESI YA KUBAMBIKWA YA ISAACK WRIGHT JR aliyepewa hukumu ya kwenda jela maisha kwakesi ya kubambikiwa na serikali na kukaa jela miaka 7. Akiwa jela akasomea sheria na kujiwakilisha mwenyewe. Katika rufaa serikali ilikubali atoke baada ya hiyo miaka na yeye afute kesi. Jamaa alikataa na kusema bora afie jela kuliko kukubali makosa ambayo hakuyatenda. Mwishoni akashinda kesi na kufutiwa criminal record.

Petro wewe mwsnasheria tatizo lenu mnafanya biashara zaidi ya kusaidia watu baadhi yenu

[/URL]
Facts za hizi kesi mbili zinafanana? Namna walivyobambikiwa kesi ni sambaba?
 
Pascal, wewe ndie ulienifanya mimi nikajiunga JF na nlikuwa nakuheshimu sana. Ila natangaza tena kama nlivyowahi kutangaza hapo kabla, sikuheshimu kamwe na nlidhani kweli wewe ni mtu Bora ila hufai kutokana na mengi uliyoyaandika humu.
HUYO JAMAA NJAA NA UMASKINI NDIO VINA MSUMBUA. AME LAMBA VIATU VYA JIWE HAJA PATA UTEUZI HATA WA UJUMBE WA NYUMBA 10 .
SASA KAZI ALIYO BAKIWA NAYO NI UONGO, UMBEYA,FITINA MAJUNGU ,UCHONGA NISHI ,WIVU,CHUKI,KUJI PENDEKEZA ,UCHAWI, NA UZANDIKI. MIJITU KAMA HII INGEKUWA INAISHI KWENYE NCHI ZA FALME ZA KIARABU DAWA YAO NI KUNYONGWA
 
Kwani alipokiri kosa hakuhukumiwa? Sheria inasema unakiri kosa kwa makubaliano na DPP alafu unahukumiwa kama kawaida.Ila judicial precedent mahakama ya hakimu mkazi? (Labda kwa courts of high records)
Kama Kabendera ni innocent, Judicial precedence ambayo amewanyima watanzania ni hukumu ya kuwachilia huru walio wekelewa kesi bandia za ML bila mafaini yale ama kushinizwa ukiri makosa.
Hukumu elekezi kama hiyo ingewalinda wananchi kutokana na utawala wa visasi unaotumia ML kama chombo cha kutisha na kunyang'anya
 
Sijakuelewa. Au maana judicial precedence ni tatizo? Kwa ufupi judicial precedence ni hukumu ya mahakama yenye mamlaka ya juu ambayo inaweza kuwa binding au persuasive. Hapa nazungumzia HC au CA. Hao unaowasema walihukumiwa na mahakama gani?
 
Back
Top Bottom