Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

Kwani Bashite hakupigwa ban ya kuingia USA na Pompeo?
In God we Trust
 

Wewe ni nani hasa hapa JamiiForums hadi utake Kuwapangia Watu nini cha Kuandika au Kujadili? Hili ni Jukwaa huru sawa?
 
Pompeo anapaswa kurevoke hizo rights kwa familia snitch kama huyu.
 
Kaka umefika Mbali sna huyo ni binadam tusichoke kumueleza ukweli ni kweli ameshindwa kuvumilia Njaa yke lkn bado ni Kaka yetu. Kaka Pascal kwenye ili ilikuwa kheri kwako kukaa kmy jambo likapita tu hata Mtt mdogo anajua Erick amekubari kulipa pesa ili kununua Uhuru wake na ww umechangia kwenye mtihani wake kikubwa naomba nikkumbushe kaka mkubwa Kuna maisha baada hiyo teuzi unayoipigania wakt ukifika utupata tu teuzi hkn sababu kujitoa Utu wako...
Pascal, wewe ndie ulienifanya mimi nikajiunga JF na nlikuwa nakuheshimu sana. Ila natangaza tena kama nlivyowahi kutangaza hapo kabla, sikuheshimu kamwe na nlidhani kweli wewe ni mtu Bora ila hufai kutokana na mengi uliyoyaandika humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..!! Tusipende kuongozwa na mihemko/fikra zetu kwenye kudhania mambo ambayo hatuna uhakika nayo. Kwani dhana ni dhambi hata Mungu hapendi tudhaniane kwenye vitu ambavyo havina ukweli lkn pia hatuja vithibitisha kwa macho yetu,kumwambia mtu kuwa amefanya jambo fulani ili hali hajafanya inauma sana jamani, Je ingelikuwa wewe umezushiwa jambo ambalo hakuwahi/hukutarajia kufanya nafsi yako ingekuwa na amani???....Mkuu Pasco huu ni mtihani kama mitihani mingine ambayo aliyo-wahi kukufika kwenye maisha yako,kama ile ilipita na hili nalo litapita kikubwa ni subra zako na kumuomba Mungu akuongoze katika hili.TUSIPENDE KUHUKUMU NDUGU ZANGU..Siasa sizitufanye kuchukiana na kuombeana mabaya na kuzushiana mabalaa.
 
UMEELEWEKA
 
Tatizo ni moja brother mayala punguza shobo na utawala wa sasa, samahani kama nimetumia neno lenye ukakasi maana ningesema punguza kihele hele lingekuwa baya zaidi

Kaa ujitathimi wewe mwenyewe kipindi gani wadau wengi hapa JF wamekuwa wakikuona ufai na umepoteza muelekeo ni kipindi ambacho unasupport vitu bavyo kwa akili ya kawaida vipo tofauti ila unasupport tu bila soni yani umeshayumbishwa misimamo yako pascal mayala tuliyemjua JF hapa miaka mitatu nyuma siyo huyu wa leo JF hueleweki unataka nini usamehewe kodi, upewe dili za serikali, au upate teuzi

Mwanzoni hata miye nilipinga wewe kuhusuka na issue ya kukamatwa kabendela ila baadae nilivyoona uandishi wako nikasems hapana bro mayala hapa ile tuhuma inamuhusu, kwaiyo kusema kuwa ukweli umebainika unatusamehe hapana kama wewe cause ulichotegemea ndio hicho kishatokea kakamatwa ukweli uliotakwa kwa kabendela umejulikana nani source ni wewe

Ombi punguza shobo na awamu ya tano kuwa kati si kwamba hatuoni makubwa yanayofanywa na awamu hii tunaona ila JF ni sehemu ya kuambiana ukweli siyo kusifia tu hata ambayo hayapaswi kusifiwa


WE LOVE YOU BRO RUDI KWENYE MSTARI UJACHELEWA
 
Kilichonisikitisha ni unafiki wa kiwango cha PhD cha Waafrika.
Wanajifanya kinafiki kuzitukana nchi za magaharibi na kuwaita Mabeberu wasio na nia njema na nchi zetu. Na kujifanya kuwa wenye nia njema na nchi zetu ni wachina; lakini cha ajabu familia zao zinaishi America na Ulaya na sio China.
Wanasafiri kwenda kupumzika na kula raha America na sio Urusi.
Wanawasomesha watoto wao Amerika na sio China wala Korea ya Kaskazini.

Ukweli utatuweka huru.

Kuna wajati Teacher aliona Mbali akalalamika kuwa Tumeanza kutajana kwa makabila sijui tunataka kutambika karne hii.
Ingekua leo hii angeitwa kwenye kamati Fulani ahojiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa kaka
 
Hakuna kitu kibaya sana kama kumsingizia mtu kwa jambo usilokuwa na uthibitisho nalo. Ni sawa na mtu kahisi fulani anatoa rushwa ya ngono, halafu mara vuuu jamaa anakuja kuanzisha uzi JF na majina mkononi. Tunaharibu majina ya watu, saikolojia yao na maisha yao ya kila siku kwa kitu tulichohisi ni kidogo tu kumbe kina madhara makubwa.

Pascal Mayalla pole sana kwa changamoto ulizozipitia. May God give you more and more grace and peace.
 
Wewe jamaa ushamtia mwenzio matatizoni alafu unatuletea porojo zako hapa.. Subiria zamu yako inakuja
 
P acha utoto yaani serikali imeshindwa kuleta ushahidi mahakamani kwa miezi 7 mpaka mtuhumiwa akiri mwenyewe? Huu ni ujambazi na uporaji wa kidola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…